Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

Kaazi kwweli kweli ,ngoja tusubiri tuone aliondoka jiwe na sasahivi anaumbuka itakuwa huyo kimbunga jobo
 
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali....
Mwanangu upo kwenye mikono salama!

images-1.jpg

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali....
Ndugai ni spika dhaifu kuwahi kutokea nchini, hafai!
 
Hivi ikitokea mahakama ikatoa uamuzi kuwa covid 19 siyo wabunge, Ndugai ataendelea atawakumbatia kwenye mikono sàlama?
 
Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata spika wa hovyo kama andunje ndugai, kama aliweza kuwafukuza wabunge halali wa cuf na mahakama haikufanya chochote sioni kama ataacha kuwakumbatia wabunge haramu wa covid19
 
Halafu watu mnategemea mabadiriko kutoka kwa Mama
Mama amezidiwa akili na mfumo dume huu wa ki ndugai hatakaa apumue wala kutimiza ndoto zake kama ataendelea kufumbia macho watu wanao ikanyaga katiba ya nnchi.

Ona spinning ya Jobo ndugai juu ya chadema kikutana na Mama Samia rais.

Eti wameshindwa muafaka kwenye chama chao ndio waweke muafaka wa kitaifa?

Hili joka ndugai linalojaribu kuaminisha watu kuwa hakina huruma kwa wanawake ndie huyu huyu aliyeamrisha Mdee afike dodoma au aletwe na pingu.

Inaelekea spika kawekeza kwenye mafarakano hivyo anahofu amani ya nchi hii itavuruga maslahi yake binafsi.

Ona sasa anavyodemka kwa ngoma ya mtandaoni!

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Job, anaposema hawezi kupangiwa atekeleze lini matakwa ya katiba anamaanisha kuwa kiapo chake alichoapa cha kulinda katiba ya nchi kinampa mamlaka ya lini atekeleze katiba na lini asitekeleze?
 
Ukimsikiliza vizuri Spika Ndugai utagundua hana kabisa ule utimamu unaotakiwa mtu asifunguliwe faili katika ile hospitali yetu pale Dodoma hivyo yale maelezo yake kuwa analo faili kule ni kweli na hakuwa anatania.

Hebu fikiria mbona ayasemayo kuwa wapinzani eti wanafanya ndiyo afanyayo yeye na haheshimu utu wa wengine?

Kama hawezi kuziona kasoro hizo jee yuko timamu huyu?

Na kwa nini anafanya atakalo kinyume na katiba na sheria na hakuna anayemuonya au kumkemea even Rais Samia?

Au wanaogopa kutembezewa kipigo kama yule mgombea ubunge wa Kongwa aliyekula rungu la kichwa?
 
Hapa ndio wanasheria za katiba, nk wanaponiudhi. Kwanini wasimfungulie kesi ya kikatiba kwani anavunja katiba wazi na watu wanamuacha?
CHADEMA, ACT, WATETEZI WA HAKI, MAWAKILI, CHAMA CHA WANASHERIA, SHULE YA SHERIA NK. MBONA MKO KIMYA?

Ni kweli mkuu huu ushauri wako kwa hizo taasisi ni wa maana sana, ni vyema wakaufanyia kazi. Lakini uzoefu unaonyesha viongozi wengi wa kiafrika huwa hawaheshimu katiba, wala hawaogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma tu.

Bila nguvu ya umma usitegemee lolote la maana huko mahakamani, kwani amri inaweza kutolewa na bado usifuatwe,ushahidi wa hilo upo.
 
Ukimsikiliza vizuri Spika Ndugai utagundua hana kabisa ule utimamu unaotakiwa mtu asifunguliwe faili katika ile hospitali yetu pale Dodoma hivyo yale maelezo yake kuwa analo faili kule ni kweli na hakuwa anatania.
Hebu fikiria mbona ayasemayo kuwa wapinzania eti wanafanya ndiyo afanyayo yeye na haheshimu utu wa wengine?
Kama hawezi kuziona kasoro hizo jee yuko timamu huyu?
Na kwa nini anafanya atakalo kinyume na katiba na sheria na hakuna anaye muonya au kumkemea even Rais Samia?
Au wanaogopa kutembezewa kipigo kama yule mgombea ubunge wa Kongwa aliyekula rungu la kichwa?

Mbona haeleweki?
Alipomfukuza Sophia Simba aliuliza hayo yote?
 
Ukimsikiliza vizuri Spika Ndugai utagundua hana kabisa ule utimamu unaotakiwa mtu asifunguliwe faili katika ile hospitali yetu pale Dodoma hivyo yale maelezo yake kuwa analo faili kule ni kweli na hakuwa anatania.
Hebu fikiria mbona ayasemayo kuwa wapinzania eti wanafanya ndiyo afanyayo yeye na haheshimu utu wa wengine?
Kama hawezi kuziona kasoro hizo jee yuko timamu huyu?
Na kwa nini anafanya atakalo kinyume na katiba na sheria na hakuna anaye muonya au kumkemea even Rais Samia?
Au wanaogopa kutembezewa kipigo kama yule mgombea ubunge wa Kongwa aliyekula rungu la kichwa?

Moja ya tatizo kubwa ni kupatiwa kinga ya kushitakiwa jambo lolote maishani mwake.
 
Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata spika wa hovyo kama andunje ndugai, kama aliweza kuwafukuza wabunge halali wa cuf na mahakama haikufanya chochote sioni kama ataacha kuwakumbatia wabunge haramu wa covid19
Huyu mzee ni chizi kabisa
 
Back
Top Bottom