Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Rightfully so kua mbishi!

Yaani nikae hapa nasikiliza Speaker anaefanya akitakacho Magufuli?...
Kama uko Africa hizo ni vitu ambavyo unatakiwa kuishi navyo

Hakuna mtu au kitu kinaweza kubadilisha hayo mambo
 
Maajabu hayaishi Tanzania!

Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo CHADEMA imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani?...
Kutokuwepo kambi rasmi ya upinzani haimaanishi wapinzani hawapo, ila hawajafikia idadi inayotakiwa ili kuunda kambi rasmi ya upinzani.
 
Ndugai ameanza mambo ya kilevi. Kuna mbunge wa chadema aliechaguliwa ? Hao wa viti maalum hawapo sasa unafukuza nani
 
Kama uko Africa hizo ni vitu ambavyo unatakiwa kuishi navyo

Hakuna mtu au kitu kinaweza kubadilisha hayo mambo
Duh pole sana watoto wako wakirithi mentality yako familia imekwisha.
 
Huo ndio ukweli
Kama ww unaamini wazungu wanaweza Kuja kuleta unachokifikilia then u have to born again
 
Mzee naona unajitahidi ku-paraphrase what he said..

Hajasema hicho ulichosema..

It seems unamuwekea maneno mdomoni mwake...

That old nigga is a fool to fire people who are not there yet!
Kwani sheria inasemaje mbunge mteule akiamua kutokwenda kuapishwa ubunge?

Ndugai ni muhuni tu kama wahuni wengine
Ikiwa alimrudisha bungeni Mwembe aliyeacha ubunge na kujivua uanachama wa chama chake na kupewa kadi ya ccm na katibu mkuu mchana kweupee lakini bado akamrudisha bungeni itakuwa hawa
 
Tatizo kubwa la Chadema ni Kukosa Kiongozi mwenye mipango zaidi ya kuwa na kiongozi mlaghai ,mbinafsi, tapeli ,mwizi, mdini, mkabila, mhuni,mlevi, mbadhirifu, mpotoshaji, mwenye roho mbaya , dikteta, muuaji, asiyejali mchango wa wengine katika kujenga chama na kujenga upinzani wa kweli nchini?

Huyo sio mwingine Bali ni Freeman Mbowe.

Mbowe ndiye anayeiua Chadema. Watanzania kwa asili kabisa hawapendi kuburuzwa na hawapendi mtu asiyesikiliza Watu wanasemaje! Watanzania kama walivyo Watu wengine duniani wanatabia ya kuboreka wanapoona sura ile ile hata kama imefanya vizuri.
CCM ina mabaya mengi sana sana sana lakini CCM itatawala muda mrefu sana kwa Sababu ya wenyeviti majinuni ndani ya vyama vya upinzani kama Mbowe.

Huwezi kumpiga Vita Magufuli aliyekaa madarakani kwa miaka mitano tuu wakati Mbowe anakimbilia mwaka wa Ishirini. Eti anakaa muda mrefu bila kikomo kwa sababu amekijenga chama kwa fedha zake wakati Watu wamepoteza maisha kwa ajili ya kukijenga chama na hajawahi kutoa hata sehemu ya Ruzuku kufidia familia zinazokosa hata hela ya kusomesha watoto kutokana na kupoteza wazazi wao kujenga Chama. Huku Mbowe akiwa bilionea na mtu aliyenufaika sana na Chama kama vike kupata ubunge,kuwa mwenyekiti,kuwa msemaji wa kambi rasmi ya upinzani kwa miaka kumi huku akipata posho mbalimbali za serikali na Chama lakini bado analeta ngonjera za nimepoteza pesa zangu nyingi kupigania Chama wakati amenufaika sana kupitia chama . Hivi utapoteza tu halafu uendelee kung'ang'ania kama sio ghiliba ni nini?

Sasa Chama hakuna hata Ofisi makao makuu ya nchi Dodoma halafu kinataka kushika Dola.

Mbowe amekula pesa zote za kujenga ofisi kila mkoa na Wilaya huku akiwa anawadanganya wanachama kuwa chama kitajengwa kwenye mioyo ya Watu na sio majengo ! Kumbe ni ili fedha za chama ziishie kwenye kujilipa ruzuku na kufanya manunuzi feki. Kwa nini hakununua hata pikipiki za Viongozi kule kwenye Kata? Je, ni mikakati gani iliyokua inafanyika wakati hapakua na mikutano wala vipindi kwenye Television!?

Kwa nini Mbowe alikua anatengeneza magenge ya kuvunja ofisi za Chadema na kuzichoma Moto ili tu pasiwe na mwamko wa kujenga ofisi maeneo yote nchini?

Hivi Mbowe anafikiri ni akili kuchoma ofisi walizojenga wananchi badala ya kuwatia moyo na kuhamasisha watu wajenge ofisi za chama nchi nzima ili kuwafanya wanachama kupata sehemu ya kukutania na kupanga mikakati kuanzia ngazi za chini?

Huo ugatuzi wa madaraka ni upi kama Mwenyekiti ndiye mwenye kauli ya Kimungu na wengine ni fuata upepo.

Mbowe alipaswa aonyeshe mfano mkubwa sana wa namna ya kujenga Demokrsia ndani ya nchi kupitia Demokrsia ndani ya Chama chake.

Uhuni alioufanya Mbowe wakati wa uchaguzi ndani ya Chama Chake ndio uhuni walioufanya serikali ya CCM wakati wa Uchaguzi mkuu. Wakina Sumaye walijitokeza adharani kulalamikia hujuma waliyofanyiwa na magenge ya Vijana wa Mbowe lakini Mbowe alijifanya kuwa hasikii wala hajali na kuwaita mamluki na wasaliti.

Sasa Mbinu ile ile ikatumiwa kwenye uchaguzi mkuu na walioumia ni wale walioumiza wenzao ndani ya Chadema na wengine kukimbilia vyama vingine na sasa tunaona Wanachadema wanakimbilia nchi za nje kuepuka maumivu ya uchaguzi mkuu.

Yote yanayofanywa na Serikali ya CCM yanafanana sana na yale anayoyafanya Mbowe ndani ya Chama chake. Kutofuata Sheria za manunuzi, Kuwaita wanye mawazo tofauti kuwa Ni wasaliti, kuzuia uchaguzi wa huru na haki ndani ya Chama kwa hofu ya Chama kuuzwa na wasaliti na mamluki ,kusema eti wanazuia umoja wa Chama kisije kikabomoka n.k. Haya yote ndiyo yanayotumiwa na Serikali ya CCM kuhujumu uchaguzi.

Sasa tujiulize je, kweli Mbowe anafaa kujenga Chama cha Kidemokrsia au ni chama tu ambacho kitakua cha mtu mmoja na kibaya zaidi ya CCM?

Je, Mbowe anafaa kuwa Mizimu Mwenyekiti wa Chama Tawala?

Je, Miaka mitano ya Magufuli ya tumbua tumbua ina tofauti gani na miaka mitano ya fukuza fukuza ya Mbowe ndani ya Chadema? Tena fukuza fukuza ya Mbowe hatujawahi kuambiwa labda ni ya wale waliokula fedha za chama au kushindwa kutimiza majukumu yao ndani ya chama zaidi ya kupingana na Mwenyekiti na Kuwa na dhamira ya kutaka kugombea uenyekiti.

Je, ni kweli kuwa Viongozi wote wa Chadema na wanachama wao wote ni wasaliti wasioweza kukiongoza chama isipokua Mbowe? Hivi Mbowe anaweza kukijenga Chama hiki kwa mikakati gani kwa sasa bila kuleta sura mpya ambayo hata CCM itapata tabu kuizoea kabla ya 2025?

Je, ni kweli kuwa Kubenea, Selasini, Komu, Katambi , Mashinji, Kalisti, Nasari, Lusinde, Rwakatare na wengine wengi walifukuzwa sababu walitaka kuuza chama au kwa sababu ya hofu ya madaraka ndani ya Chama? Kama hofu hii ya Mbowe ndiyo hulka yake ingekuaje endapo chama chake kingeingia madarakani? Je, wale Washabiki wa Mbowe hawaoni kuwa Nchi hii ingetawaliwa na Chadema chini ya Mbowe vyama vingine ingebidi wahame nchi? Hivi hamuoni hatari ya Mtu mwenye roho mbaya na dikteta kama Mbowe anayemwita kila mtu anayeongea na mwana CCM au CUF au TLP au NCCR kuwa ni Msaliti na anastahili kufukuzwa kwenye chama hata kama alipitia magumu kiasi gani kukijenga Chama?

Hivi kwa nini Hatukuoana mchakato wenye fursa sawa wakati wa kuchagua viongozi ndani ya Chadema?

Nilitegemea kuona Wagombea uenyekiti wa Kitaifa wakipita kila sehemu kueleza wanachama kuwa watakifanyia nini chama na wamejipanga vipi kuiangusha CCM badala yake wakadhibitiwa na kufuatiliwa utafikiri wanagombea Urais kwenye nchi ya kidikteta.!!

Michakato ya uongozi ndani ya Chadema imebanwa kama vile ile ya CCM tena zaidi mana hata kwenye majimbo kuna majimbo yalikua ni kama ya Watu binafsi badala ya kusubiri wananchi wanasemaje? Mfano Kalisti na Lema walifarakana kwa woga wa Lema huku akimfitini Kalisti kuwa ni msaliti.

Matendo yote aliyofanya Mbowe ndani ya Chama na uwongo wake wa kuwaita wote wanaogombea nafasi za uongozi wa juu wa chama kuwa ni wasaliti na wanapaswa kushughulikiwa ,yamemrudia Mbowe na Chama Chake.

Ni wakati sasa wa Kuamua kuendelea kukaa na msanii aliyeua chama kwa hila zake au kumvurumisha kwa nje ya ofisi na kujenga chama upya kwa akili mpya.
 
Kwani sheria inasemaje mbunge mteule akiamua kutokwenda kuapishwa ubunge?

Ndugai ni muhuni tu kama wahuni wengine
Ikiwa alimrudisha bungeni Mwembe aliyeacha ubunge na kujivua uanachama wa chama chake na kupewa kadi ya ccm na katibu mkuu mchana kweupee lakini bado akamrudisha bungeni itakuwa hawa
Asipokwenda kwa vikao 3 then anakuwa amejivua ubunge wake
 
Tatizo kubwa la Chadema ni Kukosa Kiongozi mwenye mipango zaidi ya kuwa na kiongozi mlaghai ,mbinafsi, tapeli ,mwizi, mdini, mkabila, mhuni,mlevi, mbadhirifu, mpotoshaji, mwenye roho mbaya , dikteta, muuaji, asiyejali mchango wa wengine katika kujenga chama na kujenga upinzani wa kweli nchini?
Huyo sio mwingine Bali ni Mlevi Mbowe.

Mbowe ndiye anayeiua Chadema. Watanzania kwa asili kabisa hawapendi kuburuzwa na hawapendi mtu asiyesikiliza Watu wanasemaje! Watanzania kama walivyo Watu wengine duniani wanatabia ya kuboreka wanapoona sura ile ile hata kama imefanya vizuri.
CCM ina mabaya mengi sana sana sana lakini CCM itatawala muda mrefu sana kwa Sababu ya wenyeviti majinuni ndani ya vyama vya upinzani kama Mbowe.

Huwezi kumpiga Vita Magufuli aliyekaa madarakani kwa miaka mitano tuu wakati Mbowe anakimbilia mwaka wa Ishirini. Eti anakaa muda mrefu bila kikomo kwa sababu amekijenga chama kwa fedha zake wakati Watu wamepoteza maisha kwa ajili ya kukijenga chama na hajawahi kutoa hata sehemu ya Ruzuku kufidia familia zinazokosa hata hela ya kusomesha watoto kutokana na kupoteza wazazi wao kujenga Chama. Huku Mbowe akiwa bilionea na mtu aliyenufaika sana na Chama kama vike kupata ubunge,kuwa mwenyekiti,kuwa msemaji wa kambi rasmi ya upinzani kwa miaka kumi huku akipata posho mbalimbali za serikali na Chama lakini bado analeta ngonjera za nimepoteza pesa zangu nyingi kupigania Chama wakati amenufaika sana kupitia chama . Hivi utapoteza tu halafu uendelee kung'ang'ania kama sio ghiliba ni nini?

Sasa Chama hakuna hata Ofisi makao makuu ya nchi Dodoma halafu kinataka kushika Dola.

Mbowe amekula pesa zote za kujenga ofisi kila mkoa na Wilaya huku akiwa anawadanganya wanachama kuwa chama kitajengwa kwenye mioyo ya Watu na sio majengo ! Kumbe ni ili fedha za chama ziishie kwenye kujilipa ruzuku na kufanya manunuzi feki. Kwa nini hakununua hata pikipiki za Viongozi kule kwenye Kata? Je, ni mikakati gani iliyokua inafanyika wakati hapakua na mikutano wala vipindi kwenye Television!?

Kwa nini Mbowe alikua anatengeneza magenge ya kuvunja ofisi za Chadema na kuzichoma Moto ili tu pasiwe na mwamko wa kujenga ofisi maeneo yote nchini?
Hivi Mbowe anafikiri ni akili kuchoma ofisi walizojenga wananchi badala ya kuwatia moyo na kuhamasisha watu wajenge ofisi za chama nchi nzima ili kuwafanya wanachama kupata sehemu ya kukutania na kupanga mikakati kuanzia ngazi za chini.?
Huo ugatuzi wa madaraka ni upi kama Mwenyekiti ndiye mwenye kauli ya kimungu na wengine ni fuata upepo.

Mbowe alipaswa aonyeshe mfano mkubwa sana wa namna ya kujenga Demokrsia ndani ya nchi kupitia Demokrsia ndani ya Chama chake.

Uhuni alioufanya Mbowe wakati wa uchaguzi ndani ya Chama Chake ndio uhuni walioufanya serikali ya CCM wakati wa Uchaguzi mkuu. Wakina Sumaye walijitokeza adharani kulalamikia hujuma waliyofanyiwa na magenge ya Vijana wa Mbowe lakini Mbowe alijifanya kuwa hasikii wala hajali na kuwaita mamluki na wasaliti.
Sasa Mbinu ile ile ikatumiwa kwenye uchaguzi mkuu na walioumia ni wale walioumiza wenzao ndani ya Chadema na wengine kukimbilia vyama vingine na sasa tunaona Wanachadema wanakimbilia nchi za nje kuepuka maumivu ya uchaguzi mkuu.

Yote yanayofanywa na Serikali ya CCM yanafanana sana na yale anayoyafanya Mbowe ndani ya Chama chake. Kutofuata Sheria za manunuzi, Kuwaita wanye mawazo tofauti kuwa Ni wasaliti, kuzuia uchaguzi wa huru na haki ndani ya Chama kwa hofu ya Chama kuuzwa na wasaliti na mamluki ,kusema eti wanazuia umoja wa Chama kisije kikabomoka n.k. Haya yote ndiyo yanayotumiwa na Serikali ya CCM kuhujumu uchaguzi.

Sasa tujiulize je, kweli Mbowe anafaa kujenga Chama cha Kidemokrsia au ni chama tu ambacho kitakua cha mtu mmoja na kibaya zaidi ya CCM?
Je, Mbowe anafaa kuwa Mizimu Mwenyekiti wa Chama Tawala?
Je, Miaka mitano ya Magufili ya Tumbua tumboa ina tofauti gani na miaka mitano ya Fukuza fukuza ya Mbowe ndani ya Chadema ? Tena fukuza fukuza ya Mbowe hatujawahi kuambiwa labda ni ya wale waliokula fedha za chama au kushindwa kutimiza majukumu yao ndani ya chama zaidi ya kupingana na Mwenyekiti na Kuwa na dhamira ya kutaka kugombea uenyekiti.

Je, ni kweli kuwa Viongozi wote wa Chadema na wanachama wao wote ni wasaliti wasioweza kukiongoza chama isipokua Mbowe . ? Hivi Mbowe anaweza kukijenga Chama hiki kwa mikakati gani kwa sasa bila kuleta sura mpya ambayo hata CCM itapata tabu kuizoea kabla ya 2025?

Je, ni kweli kuwa Kubene, Selasini, Komu, Katambi , Mashinji, Kalisti, Nasari, Lusinde ,Rwakatare na wengine wengi walifukuzwa sababu walitaka kuuza chama au kwa sababu ya hofu ya madaraka ndani ya Chama? Kama hofu hii ya Mbowe ndiyo hulka yake ingekuaje endapo chama chake kingeingia madarakani? Je, wale Washabiki wa Mbowe hawaoni kuwa Nchi hii ingetawaliwa na Chadema chini ya Mbowe Vyama vingine ingebidi wahame nchi? Hivi hamuoni hatari ya Mtu mwenye roho mbaya na dikteta kama Mbowe anayemwita kila mtu anayeongea na mwana CCM au CUF au TLP au NCCR kuwa ni Msaliti na anastahili kufukuzwa kwenye chama hata kama alipitia magumu kiasi gani kukijenga Chama?

Hivi kwa nini Hatukuoana mchakato wenye fursa sawa wakati wa kuchagua viongozi ndani ya Chadema ?
Nilitegemea kuona Wagombea uenyekiti wa Kitaifa wakipita kila sehemu kueleza wanachama kuwa watakifanyia nini chama na wamejipanga vipi kuiangusha CCM badala yake wakadhibitiwa na kufuatiliwa utafikiri wanagombea Urais kwenye nchi ya kidikteta.!!

Michakato ya uongozi ndani ya Chadema imebanwa kama vile ile ya CCM tena zaidi mana hata kwenye majimbo kuna majimbo yalikua ni kama ya Watu binafsi badala ya kusubiri wananchi wanasemaje? Mfano Kalisti na Lema walifarakana kwa woga wa Lema huku akimfitini Kalisti kuwa ni msaliti.

Matendo yote aliyofanya Mbowe ndani ya Chama na uwongo wake wa kuwaita wote wanaogombea nafasi za uongozi wa juu wa chama kuwa ni wasaliti na wanapaswa kushughulikiwa ,yamemrudia Mbowe na Chama Chake.
Ni wakati sasa wa Kuamua kuendelea kukaa na Msanii aliyeua chama kwa hila zake au kumvurumisha kwa nje ya ofisi na kujenga chama upya kwa akili mpya.
Bangi tu zinawasumbua nyie.
 
Demokrasia gani hiyo ya kupuuza kila ushauri ulioko wazi kabisa.

Wapo wanaCCM wengi sana wanaotafuta Chama mbadala ili pawe na pande mbili kubwa . Wanaopenda Demokrsia na kuijnga nchini na wale wasiopenda Demokrsia .
Wanaopenda Haki,Uhuru na maendeleo ya watu na wale wasiopenda haki?
Sasa wakiangalia ndani ya Chadema wanaona ni bora CCM mana kidogo watashibisha hata matumbo yao kuliko kwenda kwenye udikteta usio na manufaa. Hivi kweli ilikua ni haki kumpa mtu nafasi za Ubunge halafu umwekee masharti ya kutoa laki tano kila Mwezi na hakuna kuhoji?
Manaona Chama kilivyokua kinaendeshwa kibabe eti ndio kukijenga ?? Sasa tofauti ya mtu Huyo anayeamnini ubabe katika kufikia malengo ya ujemzi wa chama na yule anayeamini ubabe katika kufikia maendeleo ya nchi ni nini?

Acheni kumshabikia mtu aliyegota kufikiri .
Wapo watu wengi sana wenye uwezo. Hivi mnaona kujenga siasa za chuki za kumwita kila mtu msaliti kisa ameonekana akinywa bia na mwanaCCM ni sawa kweli ??

Chama kimerudi chini sana na hakiwezi kurudishwa juu na Mtu yule yule kwa mbinu zile zile za matukio badala ya mipango mizuri.
 
Back
Top Bottom