Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

Hapo penye advance.... !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi. Hawapaswi kulipwa posho Wakati hawako kazini otherwise utakuwa Ni wizi wa Mali ya umma. Nashauri Pesa watakayorudisha itumike kununulia PPE.
 
Bunge linateseka sana na Chadema! acha warudishe tu. uhai wao ni zaidi ya kiasi chochote cha pesa.
 
Ndio maana yake
 
Ndungai ndiye mpumbavu unawalipaje pesa watu hawajafanya kazi pumbavu kabisa halafu kuna mbunge wa ccm mwingine tupo naye jimboni uku sijui na yeye yupo kwenye hesabu
Hao wa CCM hata kama hawapo sio shida. Tatizo ni hawa wapinzani
 
Kuna Rais anazagaa zagaa Geita. Nasubiri tangazo la Mkuu wa mkoa wa Geita kutoa masaa 24 kwa wazurulaji huko Geita warudi ofisini.
 
Huu ni ufisadi mwingine kwanini watu wanalipwa in advance halafu chadema wanachukua pesa bila kufanyia kazi ndugai na chadema wote ni mafisadi
 
Fupi ndugai huu nfio mwaka wake wa kuanza kulipia movu yake yote...
Mwaka wa uchaguzi
 
Anatekeleza maagizo ya mgonjwa mwenziwe aliyeko Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…