Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mbaya zaidi Mwambe alivyotangaza kuwa amejiuzulu ubunge na kuhama chama aliacha kabisa kuhudhuria vikao vya bunge lakini Spika Ndugai ndiyo akamuomba aje kuendelea na bunge 🤣🤣🤣Ivi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?
Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
Kwahiyo Chadema itakapojulisha Bunge kwa maandishi kuwa imewafukuza kina Selasini Bunge litawaondoa bungeni?Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema imekabwa koo,! Na hapo hata oktoba bado haijafika mbona maji mtaita mma!
Na hivi hamna hela hata za kampeni maana mabwana zenu wapo wanapambana na corona, hahahaha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mala moja barua yao ikifika na kusomwa itafanyiwa kazi, kumbukeni tu Spika anakazi nyingi, anaweza isoma barua hiyo siku Bunge limevunjwa.Kwahiyo Chadema itakapojulisha Bunge kwa maandishi kuwa imewafukuza kina Selasini Bunge litawaondoa bungeni?
Mala - MaraMala moja barua yao ikifika na kusomwa itafanyiwa kazi, kumbukeni tu Spika anakazi nyingi, anaweza isoma barua hiyo siku Bunge limevunjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kilema.
Sabwoofer akili hana,kwanini hakutilia sheria ile ile aliyotumia kumfukuza Nasari bungeni??mbaya zaidi Mwambe alivyotangaza kuwa amejiuzulu ubunge na kuhama chama aliacha kabisa kuhudhuria vikao vya bunge lakini Spika Ndugai ndiyo akamuomba aje kuendelea na bunge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zito alienda Mahakama Kuu na kufanikiwa kuweka zuio la muda kwa Kamati Kuu Chadema kumjadili yeye na uanachama wake Chadema, wakati kesi yao ya msingi ilipokuwa yaendelea. Na hata hivyo Zito hakufika mpaka mwisho wa Bunge.Labda unesahau hata zito alipovuliwa uanachama wa chadema aliendelea na bunge hadi lilipovunjwa bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm hii hii au ile ya Chato?Ili CCM ianguke,ni lazima mambo na matukio kama haya yapete nafasi/yatokee kama ambavyo ilimbidi Yesu kusulubiwa ili sisi wanadamu tuokolewe.
Subirini yako mengi yanakuja na yatakayowashangaza zaidi.
Wamenyimwa maarifa ili utawala wao ufike mwisho na hivyo hawajui walitendalo mithili ya Wayahudi waliomsulubisha Yesu kutimizi maandiko,hivyo na hawa CCM nao wanayatenda haya ili kutimiza anguko lao pasipo kujua.
Nyalandu alijiuzulu na mpaka sasa hakuna barua aliyoandika kwenda kwa Spika wa Bunge, unasemaje hapo?Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii case ya Nyalandu nayo unasemaje?maana Mwambe alipojiuzulu na kujiunga CCM,Chadema walimwandikia barua spika kama walivyofanya CCM hapo sasa leo Spika anasemaje kuwa hawezi kuifanyia kazi barua ya upande mmoja eti mpaka Mwambe amwandikie barua. Huoni haoa kuna double standard kwa malengo fulani?Mala moja barua yao ikifika na kusomwa itafanyiwa kazi, kumbukeni tu Spika anakazi nyingi, anaweza isoma barua hiyo siku Bunge limevunjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Silinde je kajiuzulu?Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kitoto mkuu.taratibu ameanza kuona makosa yake, kwahy anacheza game ya kikubwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Matonya katika UBORA wakeNdugai sasa anajua nini katika hii dunia.