ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Bora tuzingatie masuala ya sanaa maana huku katika mpira wa miguu watu wamefungwa bao 4 wakaanza kupoteana uwanjani,namuuliza mh.waziri hana majibu
-spika Ndugai
-spika Ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kupoteana mkuuKwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ukitaka kujua maneno ya Wabongo yalipohifadhiwa fanya fyongo uone.Tatizo kupoteana mkuu
Kupoteana kivipi sasaTatizo kupoteana mkuu
Spika siku izi Sijui kala maharage ya wapi anapenda mipasho ka mwanamke wa pwaniSpika acha unazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo kupoteana mkuu
Kweli yanga inatuaibisha sana..yaani upuuzi mtupu
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Spika siku izi Sijui kala maharage ya wapi anapenda mipasho ka mwanamke wa pwani
Hadi wakaachwa na ndege wengineKupoteana kivipi sasa
Kwani taifa stars Nao walipoteana?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa