Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo naye hana jipya..mbona Bashite anaibisha taifa hasemi?Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Simba yenyewe inatuaibisha sana kufungwa na kagera na kulilia points za mezaniKweli yanga inatuaibisha sana..yaani upuuzi mtupu
Kama anavyobebwa simba??Faida ya kubebwa kwenye rigi
Siyo mpinzani alikuwa mwanaccm mwenzieHuyu si ndo Spika alomshushia RUNGU la Kichwa yule mpinzani wake kule Kongwa?
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Spika siku izi Sijui kala maharage ya wapi anapenda mipasho ka mwanamke wa pwani
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi spika yupo sahihiTatizo kupoteana mkuu
Wewe si kinda kwenye soka ndo maana unaweweseka..!We ushawahi toboa au walikutoboa
Unazijua kanuni za soka?Simba yenyewe inatuaibisha sana kufungwa na kagera na kulilia points za mezani
Niliwahi kumtoboai lakini Gongowazi kutwa kucha yeye tuuu kutobolewaBila shaka naona ana matundu yakutosha......
Huyu spika atakua bado mgonjwa,kati ya bashite na yanga nani anaaibisha taifa?
Kanuni za soka wasiojua ni huyo simba rufaa yenyewe ilikatwa kwa kuchelewa na bado wakabebwaUnazijua kanuni za soka?
Ilipigwa 7 ikiwa imesheheni wachezaji wa YangaKwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Mkuu umeua jibu mubashara hiliTatizo kupoteana mkuu