Spika Ndugai:"Yanga wameiaibisha taifa bora tuzingatie masuala ya sanaa,

Hahahaaaaaaaa!
Nne watu wakapoteana, hii ni sensitive issue, mpaka spika kaiongelea, Yanga ipigwe nan, Simba imewahi tengua matokeo ya 4-0, sasa hawa wa vyurani wao wanapoteana kabisa, ni aibu kubwa sana kwa taifa!
 
Bunge ndio linatuaibisha kama taifa....masuala ya yanga waachiwe yanga spika anataka kuwa msemaji kama haji Manala wa simba, ? Poor us! Walifungwa brazili saba na wakapoteana kweli kweli sembuse yanga, ? Acheni hizo spika simamia bunge lako wabunge mnapigana tu miti huko hakuna mnachofanya sheenzi
 
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Kwani taifa stars Nao walipoteana?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
ajui GWAJIMA SHABIKI WA YANGA''

Misa ya JPILI , TUTAKUWA LIVE .................KUONGELEA MAMBO YAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…