Spika Ndugai:"Yanga wameiaibisha taifa bora tuzingatie masuala ya sanaa,

Ni kweli kabisa wanatia aibu mno..Haiwezekani wao kwa waarabu hawatoboi.
 
Wamefungwa na wamepoteana hataa nauli ya kurudi wamekosa,aibu sana hii
 
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa

Nadhani kilichomshtua Spika na wengi sio kupoteana uwanjani, ni kupotea uwanja wa ndege... hili ndio tatizo kubwa. 😉😉😉 4G LTE
 
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa

Mbona Simba ilifungwa 4 bila na Libolo ya Angola mbona PSG ilifungwa 6 na Barcelona na Aresnal Ilifungwa 5 na Buyern?
 
Huyu spika atakua bado mgonjwa,kati ya bashite na yanga nani anaaibisha taifa?
 
Huyu spika atakua bado mgonjwa,kati ya bashite na yanga nani anaaibisha taifa?

Wote lakini afadhali Bashite tunamalizana nae ndani ya mipaka ya nchi yetu.. Lakini Yanga jamani daah, kwenda kumchanulia mwarabu kiulaini vle mpaka Africa nzima wamejua..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…