Spika Ndugai:"Yanga wameiaibisha taifa bora tuzingatie masuala ya sanaa,


Ha ha ha! Ndugai kaingia choo cha kike atatukanwa mpaka akome. Hawa 4G si wakuwakebehi bungeni labda huku mitaani, watu wanachungu kama wanajifungua kisha anawaletea mazeleu? Eti kupoteana uwanjani? Jee wangepotea tena na kupanda ndege ya Msumbiji na kushukia Beira kisha waje na bodaboda angesemaje?awaache kabisa timu yetu yenye mazoea ya kutwangwa mechi za huko nje ingawa wao wanajiita wa "kimataifa" wakati ni wa "matopeni"
 
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Wacha povu mkuu Yanga timu yenu imekuwa inayumba baada ya bosi wenu kuanza kutumia dawa ya kupunguza makali ya madawa...
 
Yanga bana kweli matobwe yani wamekubali kumfuata mwanaume ghetto mbali akakubal kuvua pichu na kuchafuliwa mabao kibao afu hata pesa ya sabuni, nauli hajapewa duh walikutana kidume
 
arsenal ilipigwa 5 + 5 = 10 hatukusikia kauli yoyote ya kiongozi wa uingereza[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sembuse yanga ya mchangani
 
Aache ushabiki nae badala ya kuhurumia taifa stars ilipigwa 7 na wachezaji wa timu fulani wakiwa wengiiii uwanjan
 
Yanga kupigwa 4 - waziri anatakiwa awe na majibu - haya makubwa
 
Kwani Yanga ni timu ya kwanza duniani kufungwa goli 4...taifa stars walipigwa 7 na Algeria inamana walilifurahisha taifa
Si ndo hapo kufungwa alifungwa Brazil goli 7 sembuse Yanga...

Psg alipigwa goli sita na Barca sumbuse Yanga.....

Huu ni mpira tu
 
Huyu ni simba tu hana jipya!
Kwani timu zetu zimeanza Leo kufungwa magoli 4? Duniani kote zipo timu za vilabu na taifa zimefungwa magoli mengi Lakini hawakualisha kucheza au kuendelea na mipango ya kisoka....!
Ukijikwaa songa mbele, tena kwa juhudi zaidi.. Usiangalie wapi umejikwaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…