Spika Ndugai:"Yanga wameiaibisha taifa bora tuzingatie masuala ya sanaa,

Mikia FC mpira umewashinda...yule mwanamama FIFA referee amewaumbua...macho kodo cannavaro ananyanyua ndoo
 
Hahahaaaaaaaa!
Nne watu wakapoteana, hii ni sensitive issue, mpaka spika kaiongelea, Yanga ipigwe nan, Simba imewahi tengua matokeo ya 4-0, sasa hawa wa vyurani wao wanapoteana kabisa, ni aibu kubwa sana kwa taifa!

Hapo ilikuwaje Mkashindwa kutengua goli moja mlilokuwa mmechapwa pale Taifa????
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu,kumbuka ndugai nae ni binadamu aisee anauhuru wa kushabikia timu aipendayo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu si ndo Spika alomshushia RUNGU la Kichwa yule mpinzani wake kule Kongwa?
Mkuu,hayo si yalisha pitaaa,kwani imekua nongwa kugusia tuu yaliyoteka uarabuni[emoji23] [emoji23] .

Mtaani kwetu wanasema eti baada ya ndege kuwaacha ilihidi wawaombe wenyeji wao hifadhi jamaa wakatoa masharti ya kutaka kutaka kila mchezaji wa yanga achukuliwe na kila mchezaji wa timu wenyeji kwa maana ya kupewa hifadhi kwa muda wote wataokua kule[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wote lakini afadhali Bashite tunamalizana nae ndani ya mipaka ya nchi yetu.. Lakini Yanga jamani daah, kwenda kumchanulia mwarabu kiulaini vle mpaka Africa nzima wamejua..?
Unamaanisha YANGA kachanwa LINDA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Povu la nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…