Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Wewe kila kitu unapinga tuMnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Wewe kila kitu unapinga tu
Ana chuki na January, rejea mada zake hapa jukwaani,January ndiye rais?
January ndiye VP?
January ndiye PM?
January ndiye Baraza la mawaziri?
Hivi mleta mada unadhani waziri January ana nguvu kiasi cha kuchelewesha mradi ambao rais na serikali yake wote wanataka uishe?
Acha utoto.
Akapime samaki kwa ruler kule Kantini!Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Sukumagang ni kuku waliokatwa vichwa, wanaruka ruka tu!January ndiye rais?
January ndiye VP?
January ndiye PM?
January ndiye Baraza la mawaziri?
Hivi mleta mada unadhani waziri January ana nguvu kiasi cha kuchelewesha mradi ambao rais na serikali yake wote wanataka uishe?
Acha utoto.
Hoja hapa ni kuunda tume kuchunguza kucheleweshwa mradi wa JNHPSukumagang ni kuku waliokatwa vichwa, wanaruka ruka tu!
Tatizo walioko bungeni watakubali? Au ni yeye peke yake ndie anapambaniaHoja hapa ni kuunda tume kuchunguza kucheleweshwa mradi wa JNHP
Nakujua vizuri. Ulikosa ubunge 2020.Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Spika akikubali hakuna wa kupingaTatizo walioko bungeni watakubali? Au ni yeye peke yake ndie anapambania
Mbona aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji Arusha amepandishwa kizimbaniAta wakikuta madudu au upigaji watawafanya nini sasa waliopiga maana chama kilisha bariki wizi wa mali za umma
Huo mradi ulichelewa tangu kabla ya makamba kuwa Waziri husikaHoja hapa ni kuunda tume kuchunguza kucheleweshwa mradi wa JNHP
Ujinga na utoto kama huu ndio umefanya Sendeka kuaibiaka na kufuta kauli baada ya Spika kusema anaweza wataka wote walete ushahidi..Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?
πView attachment 2267087
Nov 2021 ilikuwa zoezi la kujaza maji lianze ila January akazingua.Huo mradi ulichelewa tangu kabla ya makamba kuwa Waziri husika
Wasukuma kubalini matokeo, muda wenu umekwisha baada ya kifo cha Dikteta wa Chato. Hilo bwawa lilianza kujengwa bila mipango mahususi ikiwa ni pamoja na vyanzo vya fedha. Uchelewashaji hausababishwi na Januari.Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?
πView attachment 2267087
Lengo likiwa kubainisha mapungufu ya awamu ya 6, ili kuonesha ubora wa awamu ya 5?Hoja hapa ni kuunda tume kuchunguza kucheleweshwa mradi wa JNHP