Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

January ndiye rais?
January ndiye VP?
January ndiye PM?
January ndiye Baraza la mawaziri?

Hivi mleta mada unadhani waziri January ana nguvu kiasi cha kuchelewesha mradi ambao rais na serikali yake wote wanataka uishe?

Acha utoto.
 
Sukumagang ni kuku waliokatwa vichwa, wanaruka ruka tu!
 
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.

Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?

👇View attachment 2267087
Ujinga na utoto kama huu ndio umefanya Sendeka kuaibiaka na kufuta kauli baada ya Spika kusema anaweza wataka wote walete ushahidi..

Huyu Mpina nae ni hao hao wapumbavu,anaweza thibitisha madai yake kwamba Makamba JR kachelewesha Bwawa?

Kwamba Mpina hajui.kwamba hadi Kalemani anaondoka kwenye Wizara Bwawa lilikuwa limechelewa?

Watu kama Hawa wapotoshaji haifai hata kuwapa airtime.kwa.sababu mburula wengi wasio na akili z kiudadisi huwa wanaamini tuu.
 
Kabla ya kuunda tume ajiulize kwanza wakati jiwe anafariki bwawa lilikuwa kwenye asilimia ngapi ikilinagnishwa na mpango ulilopo kwenye makaratasi?
 
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.

Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?

👇View attachment 2267087
Wasukuma kubalini matokeo, muda wenu umekwisha baada ya kifo cha Dikteta wa Chato. Hilo bwawa lilianza kujengwa bila mipango mahususi ikiwa ni pamoja na vyanzo vya fedha. Uchelewashaji hausababishwi na Januari.

Hata kama Mwendazake na Kalemani wangekuwapo still hiyo JNHEP dam ingekuwa bado. Mwendazake alitanguliza UWONGO kwenye kila jambo ili kuwa fool wajinga kama Luhaga Mpina kuwa yeye ni mchapakazi
 
Back
Top Bottom