Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Una maana gani? January atalipa kisasi?Atakapoona Jina la January kugombea urais ndo atajua kuwa hajui.
Hoja zijadiliwe hivi, sio kutanguliza mapenzi.Mtu atuambie
1. Bwawa lilianza lini?
2. Lilipangwa kujengwa kwa muda gani?
3. Mpaka 17 March 2021 lilikuwa limefikia hatua gani?
4. Mpaka 20 June 2022 lilikuwa limefikia hatua gani?
Tukipata hizi data tutajua namna bora ya ku-deal na hili jambo
Sawa ni mnafiki je akisikilizwa hoja zake utapungukiwa na nn unamanisha mambo yaendelee ivoivo punguzeni uchawa uo basiMnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Pengine wewe ndo hujui kama hujui.1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati
Uzi ufungweJanuary ndiye rais?
January ndiye VP?
January ndiye PM?
January ndiye Baraza la mawaziri?
Hivi mleta mada unadhani waziri January ana nguvu kiasi cha kuchelewesha mradi ambao rais na serikali yake wote wanataka uishe?
Acha utoto.
Jaribu kuwa na akili hajasema makamba ye ameomba tume ichunguze ucheleweshaji wa mradi mbona unatua povu ambalo halina ulazima ndg mbona tume nyingi tu zimeundwa mfano.Ujinga na utoto kama huu ndio umefanya Sendeka kuaibiaka na kufuta kauli baada ya Spika kusema anaweza wataka wote walete ushahidi..
Huyu Mpina nae ni hao hao wapumbavu,anaweza thibitisha madai yake kwamba Makamba JR kachelewesha Bwawa?
Kwamba Mpina hajui.kwamba hadi Kalemani anaondoka kwenye Wizara Bwawa lilikuwa limechelewa?
Watu kama Hawa wapotoshaji haifai hata kuwapa airtime.kwa.sababu mburula wengi wasio na akili z kiudadisi huwa wanaamini tuu.
Ichunguze nini hapo?Jaribu kuwa na akili hajasema makamba ye ameomba tume ichunguze ucheleweshaji wa mradi mbona unatua povu ambalo halina ulazima ndg mbona tume nyingi tu zimeundwa mfano.
1.tume ya covid 19 iliyoleta chanjo na watu mmenufaika na hizo chanjo
2.tume ya mkandala na zitto ambayo hadi sasa imefanya mikutano ya wanasiasa inafanyika kwa uhuru
Nini kinawaogopesha kwa hoja ya mh. Mpina
Magu anakuwasha, jinga weee
Sawa ni mnafiki je akisikilizwa hoja zake utapungukiwa na nn unamanisha mambo yaendelee ivoivo punguzeni uchawa uo basi
Luhaga Ni mnafiki tu. Makamba ana ubavu gani wa kuzuia mradi wa JNHP? Yeye aseme anampiga Vita Raisi Samia kupitia mgongo wa Makamba!Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.
Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?
👇
Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
Halafu na wewe unakoelekea!! Jiangalie sana, umeanza kuwa mweupe sana kichwani, staki kusema uzee unakunyemelea! Ila umeamua kuacha Kwa maksudi kuziona hoja na kuweka michango ile inayolisaidia taifa!Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Kwani nini maana ya mnafki?Wakati wa Magufuli alikua kimya coz aliamini Magufuli yupo sahihi, Now anaona yale aliyoamini hayapo ndio maana anapinga. Huu ni UNAFKI au hujui maana ya UNAFKI?Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Halafu na wewe unakoelekea!! Jiangalie sana, umeanza kuwa mweupe sana kichwani, staki kusema uzee unakunyemelea! Ila umeamua kuacha Kwa maksudi kuziona hoja na kuweka michango ile inayolisaidia taifa!
Jitahidi sana kusahau yaliyopita Kwa sababu hayasaidii chochote hata ukaishi nayo Kwa karine na karine
Kwani nini maana ya mnafki?Wakati wa Magufuli alikua kimya coz aliamini Magufuli yupo sahihi, Now anaona yale aliyoamini hayapo ndio maana anapinga. Huu ni UNAFKI au hujui maana ya UNAFKI?
Kinachonikera ni watu wanakuwa very personal badala ya kujadili issues. Mimi nilivyosikia bwawa litajengwa kwa miaka 3 nikashangaa sana. Zile zilikuwa ni siasa. Inawezekana Makamba akawa hafai hata kidogo, lakini asemwe kwa kuangalia ukweli, sio kumbebesha lawama ambazo sio zake.Hoja zijadiliwe hivi, sio kutanguliza mapenzi.
Kuna mjuvi mmoja alisema bwawa lilianza 2017, Jiwe akiwepo, mkandarasi afanye kazi mchana na usiku, hivyo kama ilikuwa lijengwe kwa miaka 5 kawaida, kwa usiku na mchana, muda ungepungua.
Kuna mtu anakumbuka hilo?.
Tukiweka ubinafsi pembeni, sio Makamba, Mwigulu, Nape, Ridhiwani, Simbachawene, Mulamula na wafananao wanaofiti kwenye nafasi za uongozi wowote ule wa kitaifa. Ni majina, pesa na chama ndo vinavyowabeba.
Ni kama kukaa kumsifia PFunk kuwa wakati ule alikuwa na kipaji na ubunifu, ukiuliza alipatia wapi elimu yake ya muziki, unaambiwa amesoma IST, Majani kasoma sijui nchi gani Ulaya huko, Mika Mwamba naye Ulaya ndo kwao, wakina Langa, Shaa, Witness, AY, Gwamaka, Vanesa, Faraja, Jokate, na wafananao...wote wako shaped na uwezo wa kiuchumi nyumbani na si kwamba wamefanya zaidi.
Alijenga darasa huko kijijini kwao akidhania atapata ubunge bahati mbaya akaliwa kichwa amebakiza chuki kwa hayati JPMHalafu na wewe unakoelekea!! Jiangalie sana, umeanza kuwa mweupe sana kichwani, staki kusema uzee unakunyemelea! Ila umeamua kuacha Kwa maksudi kuziona hoja na kuweka michango ile inayolisaidia taifa!
Jitahidi sana kusahau yaliyopita Kwa sababu hayasaidii chochote hata ukaishi nayo Kwa karine na karine
Atanyooka tuAlijenga darasa huko kijijini kwao akidhania atapata ubunge bahati mbaya akaliwa kichwa amebakiza chuki kwa hayati JPM
Jiwe alikurupuka kuanza ujenzi wa mradi mkubwa kiasi kile bila ya kuwa na fedha na wakati huo huo mradi unapingwa na nchi wahisani..No more funds are available for the project. I see it as a failing elephant.