Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

Hivi punde nilikua huko mikoa ya kusini.

Wakazi wa huko wanalalamika mno kuhusiana na bei ya mbolea.

Wameshindwa kulima kama kawaida yao, waliofanikiwa tu ni wale waliomudu bei.

Serikali inapaswa kutia ruzuku kwenye mbolea ili kuharmonize price ya mbolea.
 
Jiwe alikurupuka kuanza ujenzi wa mradi mkubwa kiasi kile bila ya kuwa na fedha na wakati huo huo mradi unapingwa na nchi wahisani..

Jiwe hafai
Hapa Africa ni South Africa tu ndiyo iko kwenye G25. Egypt pamoja kuwa na uchumi inategemea tourism na navigation pale Suez Canal ni nchi maskini.

Niliposikia Arab Contractors wameshinda zabuni ya ujenzi wa Stiglers Gorge Electric Power Project nikajua huo ni UTOPOLO tu.
 
Wewe ndo hujaelewa.
Mpina ameomba iundwe tume bila kumlenga mtu.
Lakini mleta mada anataka achunguzwe Makamba
 
Hakukataa ila alivyoingia maslahi yake hayakuwepo ndio maana alisitisha. Alikataaje wakati alipigia mswada kura ya ndio wakati Chadema waligoma na kutoka bungeni??

It was just a matter of time huo mradi ungerudi maana yalishaanza kusemwasemwa kabla hata hajafa..
 
Wakuu mnisaidie mnaposema hujuma yeye January atapata faida Gani Mradi ukichelewa?? Then umeme wa Tz 60% unazalishwa kwa gesi sasa kwanini wasihujumu mabomba ya gesi au Kinyerezi 2 Ili tuingie kwenye crisis ya umeme if at all hiyo ndio fursa kwa mafisadi??

Embu mjibu hili mnaoamini kuwa Mradi unahujumiwa.
 
Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Nashangaa wanaomuunga mkono, jamaa anamfokea Samia kwanini anadai tozo wakati tumesamehe Trillion 400 za Barrick!! Najiuliza kwanini hakuhoji hayo Matrillion kipindi JPM yupo!!!

Wana JF wanamuona mzalendo sijui mkombozi ila wananchi wanamuona mnafiki tu anayelilia uwaziri utafikiri ni haki yake.
 
January ndiye rais?
January ndiye VP?
January ndiye PM?
January ndiye Baraza la mawaziri?

Hivi mleta mada unadhani waziri January ana nguvu kiasi cha kuchelewesha mradi ambao rais na serikali yake wote wanataka uishe?

Acha utoto.
Mwisho wa siku usije jikuta ww ndo mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…