Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

Spika sikiliza ushauri wa Mpina, iundwe tume kuchunguza kwa nini January Makamba amechelewesha mradi wa JNHP. Pia mizengwe ya bei ya mbolea

Hivi punde nilikua huko mikoa ya kusini.

Wakazi wa huko wanalalamika mno kuhusiana na bei ya mbolea.

Wameshindwa kulima kama kawaida yao, waliofanikiwa tu ni wale waliomudu bei.

Serikali inapaswa kutia ruzuku kwenye mbolea ili kuharmonize price ya mbolea.
 
Jiwe alikurupuka kuanza ujenzi wa mradi mkubwa kiasi kile bila ya kuwa na fedha na wakati huo huo mradi unapingwa na nchi wahisani..

Jiwe hafai
Hapa Africa ni South Africa tu ndiyo iko kwenye G25. Egypt pamoja kuwa na uchumi inategemea tourism na navigation pale Suez Canal ni nchi maskini.

Niliposikia Arab Contractors wameshinda zabuni ya ujenzi wa Stiglers Gorge Electric Power Project nikajua huo ni UTOPOLO tu.
 
Jaribu kuwa na akili hajasema makamba ye ameomba tume ichunguze ucheleweshaji wa mradi mbona unatua povu ambalo halina ulazima ndg mbona tume nyingi tu zimeundwa mfano.
1.tume ya covid 19 iliyoleta chanjo na watu mmenufaika na hizo chanjo
2.tume ya mkandala na zitto ambayo hadi sasa imefanya mikutano ya wanasiasa inafanyika kwa uhuru

Nini kinawaogopesha kwa hoja ya mh. Mpina
Wewe ndo hujaelewa.
Mpina ameomba iundwe tume bila kumlenga mtu.
Lakini mleta mada anataka achunguzwe Makamba
 
Alipoteuliwa makamba kuwa waziri wa hii wizara tulijua yafuatayo;
1. Michezo michafu ya kubinafsisha gas yetu ambayo mwendazake aliikataa kwa kuanza kujenga hili bwawa utazimwa!
2. Lengo kuu la hawa watu wa awamu ya 4 ni gas itumike kama nishati ya umeme hivyo wao kuwauzia umeme Tanesco na kuendelea kuifilisi nchi.
3. Mpango huu umeasisiwa na muuza gas mkubwa na tapeli mkubwa na hatari sana!
Kumbekeni mikataba mibovu ya gas ktk awamu ya 4 iliyopitishwa na wabunge wa ccm lengo lilikuwa hili lkn magu alikataa
Hakukataa ila alivyoingia maslahi yake hayakuwepo ndio maana alisitisha. Alikataaje wakati alipigia mswada kura ya ndio wakati Chadema waligoma na kutoka bungeni??

It was just a matter of time huo mradi ungerudi maana yalishaanza kusemwasemwa kabla hata hajafa..
 
Luhaga Mpina ametoa ushauri mzuri sana. Na hapa ni dhahiri kuwa kuna kitu chini ya kapeti. January amefanya hujuma zake mwenyewe ili mradi usikamilike. Dalili na harufu za hujuma zipo wazi.

Huyu Bashe ndio hafai kabisa kwa nini nchi za jirani bei za Mbolea zipo chini kuliko hapa Tanzania.?

👇
Mpina aikomalia Wizara ya Nishati
Wakuu mnisaidie mnaposema hujuma yeye January atapata faida Gani Mradi ukichelewa?? Then umeme wa Tz 60% unazalishwa kwa gesi sasa kwanini wasihujumu mabomba ya gesi au Kinyerezi 2 Ili tuingie kwenye crisis ya umeme if at all hiyo ndio fursa kwa mafisadi??

Embu mjibu hili mnaoamini kuwa Mradi unahujumiwa.
 
Mnafiki tu huyo Mpina, mbona kipindi cha magu alikaa kimya wakati uhayawani unafanyika?
Nashangaa wanaomuunga mkono, jamaa anamfokea Samia kwanini anadai tozo wakati tumesamehe Trillion 400 za Barrick!! Najiuliza kwanini hakuhoji hayo Matrillion kipindi JPM yupo!!!

Wana JF wanamuona mzalendo sijui mkombozi ila wananchi wanamuona mnafiki tu anayelilia uwaziri utafikiri ni haki yake.
 
January ndiye rais?
January ndiye VP?
January ndiye PM?
January ndiye Baraza la mawaziri?

Hivi mleta mada unadhani waziri January ana nguvu kiasi cha kuchelewesha mradi ambao rais na serikali yake wote wanataka uishe?

Acha utoto.
Mwisho wa siku usije jikuta ww ndo mtoto
 
Back
Top Bottom