Spika sio msemaji wa serikali. Kuhusu suala la mahindi spika Tulia acha kumsemea waziri Bashe na serikali, sio kazi yako!

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Mjadala wa mahindi inashika kasi bungeni namuona spika Tulia Ackson akiitetea serikali kuhusu sakata la kufungwa kwa mipaka kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi.

Kinachonishangaza ni spika kuzungumza na kutoa maelezo kuhusu msimamo wa sirikali na utaratibu unaopaswa kufanyika.

Hivi hii sio kazi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe au Waziri Mkuu Kassim Majaliwa?

Juzi spika alisikika akiwaambia wananchi wabebe mahindi yao wakauze kwenye maghala ya serikali.

Ninavyojua spika hapaswi kuelemea upande wowote kwenye mijadala ya Bunge.
 
Ndio nashangaaa Tuliaanapiga kelele kma amevamiwa na mwizi ache Bashe aje aseme
 
Tulia hajui au hauwezi hiyo kazi.

Yupo pale kwa kazi maalumu.
 
Kwani mahindi/mazao yamekuaje tena huko...🤔
 
Hawajui hata limit ya majukum yao., usishangae kesho akazungumzia hata mambo ya afya , ni hovyo hovyo tu ilimradi liende.
 
Ccm Lao Moja Tu Hata Bandari Kwenda DP World Waliungana Wote
Leo Wanafarakana Hadharani Kuna Wanaosema Wamehongwa Nyumba, Wengine Mtonyo, Wengine Walikwenda Dubai Kuzurura Sijui Cha Kufanya (Kubung'aa) Tu
Ccm Jamani
 
Ccm Lao Moja Tu Hata Bandari Kwenda DP World Waliungana Wote
Leo Wanafarakana Hadharani Kuna Wanaosema Wamehongwa Nyumba, Wengine Mtonyo, Wengine Walikwenda Dubai Kuzurura Sijui Cha Kufanya (Kubung'aa) Tu
Ccm Jamani
Oya kuna mambo ni ya wahuni wao tuu hayakihusishi chama changu
 
Hii nondo ya mm12 inapiga mdomo sana pale kwenye kiti. kibibi kikavu kweli.
 
Watanganyika jifunzeni kwa wenzenu wa visiwani .

Nafasi muhimu za kitaifa epukeni kuwapa lip stick .

Mtakuja kunikumbuka.
 
Huyu hapa!
 
Hatuna hatujawahi kupata Spika wa kiwango cha Tulia
Ata Mama Makinda anamuacha mbali sana Tulia achilia mbali Marehemu Samwel Sitta.
Tulia hamna kitu, miyeyusho tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…