Spika sio msemaji wa serikali. Kuhusu suala la mahindi spika Tulia acha kumsemea waziri Bashe na serikali, sio kazi yako!


Yani ni kama comedy
 
Tulia ameshusha hadhi ya Bunge sana. Bunge limekuwa kama Kijiwe cha Bodaboda.
 
Mpaka leo hujui yupo kitini kwaajil gani? Pole san mkuu....
 
Hawajui hata limit ya majukum yao., usishangae kesho akazungumzia hata mambo ya afya , ni hovyo hovyo tu ilimradi liende.

Unachopaswa kujua ni kua kwenye historia tumepata spika msomi mbobezi wa sheria ila very empty upstairs, kwa sasa anajaribu kuchagiza au kujichomekeza kutia neno hata asipohitajika ili tu tuweze kujua uwepo wake!

Just take it easy hana impact huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…