RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Tatizo tunashindwa hata kuwa na uelewa hata kwenye mambo makini.Mfano hata BBC pamoja na umuhimu wa WC hata siku moja hawawezi kuahirisha mambo ya maana kwa kuonyesha mpira hata kama ENGLAND wanacheza.Nandio maana kunakuwa na TV station nyingi na za michezo kama supersport ili kutochanganya habari.
Walichotakiwa kukifanya TBC wangepromote hiyo TB2 iwe kama Channel ya michezo kama ndio wanaona michezo ina maana kuliko Bajeti ya serikali.
dada usiwaonee tbc au watz kwa kufananisha na bbc....tbc nadhani wana channel 2(im not sure) wakati bbc wanachannel kibao mfano:wana channel ya bunge ambayo 24hr inaonyesha bunge,wanajua wakionyesha bunge kwenye chennel ya kawaida na bunge lilivyo, in 24hrs watapata complaints million plus kutoka kwa walipa kodi wanaoiendesha bbc,kuna BBC NEWS channel 24hrs huku ni news tu,kuna bbc1,2,3 hizi zinaonyesha vipindi tofauti.
tukija kwenye mpira bbc wanaonyesha mpira on bbc1 na muda wanaoonyesha mpira huwa kuna taarifa ya habari na huwa inakuwa CANCELLED bila mjadala.
TBC1,2 NI TV YA TAIFA,inapaswa kuonyesha mpira bure kwa watz wote bila kuwalazimisha kununua DECODERS kwa sababu inaendeshwa kwa kodi za watz na kwa vile walisema ni wao tu wataonyesha WC wanapaswa kuonyesha watanzania wote wenye tv bure,kwa maana hio lazima iwe ON TBC1 kwasababu TBC2 ni mpaka decoder.