Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Watafanya mengi sana kwa ajili yao lakini Wananchi wanatazama na kuona kama vile ni uonevu sana kwa ajili ya Demokrasia, Mimi nakwambia siku moja kule bungeni watu watazichapa tu na kuona kama yale ya Somalia na Kenya, au Bunge la Makabwela UingerezaMwenzenu wanataka kumuimpeach.... sasa ni lazima ajitutumue!
Naomba nisaidie hapo.
Nimeshuhudia spika Sita akimfukuza mbg. Cheyo. Sababu kubwa ni kwamba eti amedharau kiti cha spika. Niliona live na yaliyotoke ni haya;
Kwanza Cheyo aliuliza swali kwa Waziri Batilda akitaka kueleza kwamba hayo matatizo ya North mara ni ya siku nyingi na si ghafla kama ilivyoelezwa na Waziri. Spika kwanza kasema sikuelewi au rudia maana naamini hata waziri hakuelewa (sijui alijuaje). Cheyo karudia tena na kabla hajamaliza Spika kaingilia kati akitaka Cheyo aeleze kama kweli maelezo yake ni ya kisayansi. Acid haiunguzi mara moja? Cheyo akajibu anayo sayansi ya kemia, hivyo ana hakika. Spika akadai Cheyo kisha sahau Chemistry (kumbuka spika kasoma sheria). Cheyo akaonyesha kuridhika na mamlaka ya kiti cha spika lakini akasema hakuridhika na jibu la swali lake. Spika kaendelea na maelezo mareeefu ya kuonyesha kwamba Cheyo ni dikteta na akasema hajui huko UDP mambo yakoje.
Haya! Cheyo kasimama akitaka kusema kitu, mara kaambiwa kaa chini! Go out! Sajenti mtoe nje!
Maoni yangu ni kwamba, this was too much with this human so called spika Nadhani sasa tuko hatua ngumu ya uongozi. Hata kama anayo madaraka ya kumfukuza mbunge bungeni, kuna lugha ya kutumia. Mara moja nilikubali kwamba huyo ndo Sitta. Hizi lugha za go out!
Kuna tabia ambayo naiona kwa spika Sita. Mara nyingi anakuwa activated akiona akina mama. Labda hapo hakutaka bi Batilda aulizwe swali. Nimemuona hata akitambulisha wageni wa wabunge wenzake pale Bungeni, akiwepo mwanamke, lazima atatoa comments za ziada ambazo mara nyingi huwa ni zile za kubembeleza. Nadani tuna tatizo
Huyu Spika Six sasa kagundua kwamba zile kampeni za akina RA za kuhakikisha yeye na akina Sendeka, Anna Kilango, Mwakyembe, Kimaro na Selelii hawarudi Bungeni 2010 (na hivyo pengine kuukosa Uspika kwa kipindi kingine) ni za dhati, na siyo laghai. Hivyo kajikuta hana njia na kugeuka 180 degrees kulinda tumbo.
Yaani ghafla kawatosa wananchi aliokuwa akitamka anawapigania na kuwapa wakati mgumu mafisadi. Naona sasa ametambua CCM ni ya akina nani na yeye hana chochote na inabidi afate amri. Suala la Meremeta lilinistua sana na hapo hapo nikaona kuwa Sitta hana principles kabisa.
The continuing grotesque caricaturing of that august office of the Speaker of the parliament of the URT would irk even the most austere mannered observers.
That a speaker would not only ineloquently disgrace his chair, but do so in repeated shameful frenzies, within the space of a few days, and apparently with all the proud pomposity of an unchecked sadist rural headmaster berserkly drunk with power, begs the question on whether true democracy is served in our parliament.
Moreover, his unfortunate, if not downright partisan remarks about the opposition MPs, not only exposes his ignorance of his arbitrating role, but sheds light on his lack of grace, character, impartiality, integrity, knowledge and a knack for compromise.
In a parliament that is so one sided by the sheer number of CCM members, the Speaker being from CCM, only a fool like Speaker Sitta would feel threatened and overreact in this way. I have never witnessed a Speaker so hellbent on dictating -without as much as providing the statutory stipulation guiding him - as Samuel Sitta. Compared to Pius Msekwa, Msekwa seems like a gentleman and a scholar.
But the greater tragedy tham Sitta is the status quo -including if not led by CCM members- allowing this hegemony of Draconian heavyhandedness, the uncalled for stigmatization and unfounded stereotyping, as long as it is directed towards the opposition.Parliamentary business is now conducted in the most shoddy way, one would be excused to envy the grace displayed in the conducts of football rivarlies -Simba vs Yanga, and wish our parliament could at least rise to that level.
One need not a degree in law or PR to note that Speaker Siatta does not set an example of abiding by the very same stipulation he is so quick to decree. I believe in the right of expression, and an MP as a representative of the people should have protection from Orwellian orangutangs and Ottomanlike ombudsmen like Sitta.
One of these days we may even witness what went down in the South Korean parliament, a pure parliament fist fight.Then maybe some people will learn not to play "Keeper of The Gate" too much when it comes to the people's interest.
Another sad day for the almost lost cause of Tanzanian democracy.