Spika Tulia acha mapepe kwenye PhD za heshima

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nilikuwa nafuatilia vyuo vinavyotambuliwa na PhD za heshima walizotoa. Ukiangalia vizuri zimejaa wanaharakati, wachezaji wa michezo mbali mbali na wasanii. Sasa huyu spika kupoteza muda na kujadili haya ili tu Dr waitwe wenyewe haitawezekana na haipo kisheria kama ananyo aminisha watu. Hivyo vigezo kwa PhD za heshima hazifanani mfano Kuna wasanii wangapi Tanzania wapepata hizo honorable degrees kulinganisha na nchi nyingine? Nendeni kaangalieni Havard wametoa PhD ngapi kwa wasanii na watu wa kawaida ni nyingi. Na hivi ni vyuo bora Duniani wako wakumwaga

Huyu rapper hata hamtakuwa mnamjua

The Houston rap vet was just awarded with an honorary doctorate from Leaders Esteem Christian Bible University. Houston's Fox26 reports Z-Ro received an Honorary Doctorate Degree in Humanities and was also presented with a Presidential Lifetime Achievement

Nikiweka list hapa wasanii na wacheza sinema wa juu karibu wote wana degree za heshima

Hizo university zote ziko juu ya university yetu ya Dar🤔
 
Wewe ni mnufaika wa huu upuuzi wa kununua kama unapenda sana "Pi eki Di" nenda darasani kasome. Spika amesema ya maana sana we PhD gani ambazo zinatolewa kama vile Press conference vile zinavyoitishwa.
 
Taja Sifa za hizo PhD zinazo semwa
 
Kwanza hii hadi kwenye CV imabidi iwekwe kama award na haikai kwenye section ya elimu.
Pia haitakiwi kuiongeza kwenye jina lako.
 
Jamani hakuna dezo katika elimu! Kasome ili upate PhD halali. Kwa Tanzania PhD holders wa za heshima as per TCU hatakiwi kuitwa Dr so and so bali mwishoni mwa jina lake mfano Mr Babutale (PhD ya heshima)
 
Kwanza hii hadi kwenye CV imabidi iwekwe kama award na haikai kwenye section ya elimu.
Pia haitakiwi kuiongeza kwenye jina lako.

Hakuna sheria yeyote kwamba ukipata Honorable degree huwezi kutumia kina Dr unaweza sema wengi hawatumii kwasababu haiwasaidii chochote! Ni ushamba wetu tu huku wanasiasa hata hawataki kuitwa Dr kama sio Dr wa binadamu! . Kwenye kazi kama za kufundisha sawa lakini kazi za kawaida watu hawaitwi Dr kazini😂 ni ushamba hata wenye PhD
 
Taja Sifa za hizo PhD zinazo semwa
1. Zinatolewa kwa watu ambao wametoa mchango mkubwa katika jamii hivyo huzawadiwa kama sehemu ya ku enzi jitihada zao.
2. Sio degree za darasani hivyo hauwezi kuzitumia kuombea kazi.
 
Wapi uliona Shaggy anakuwa addressed kama Dr. Shaggy au Dr. Tylor?

Ata samia au jakaya hawapaswi kuitwa Dr... then likafata jina lao.

Tatizo wanalazimisha mambo mtu anataka kutambulika kupitia Dr wakati sio kweli ndio yalikuwapo leo babu tale kulazimisha kuitwa dk tale
 
Hakuna sheria yeyote kwamba ukipata Honorable degree huwezi kutumia kina Dr unaweza sema wengi hawatumii kwasababu haiwasaidii chochote! Ni ushamba wetu tu huku wanasiasa hata hawataki kuitwa Dr kama sio Dr wa binadamu! . Kwenye kazi kama za kufundisha sawa lakini kazi za kawaida watu hawaitwi Dr kazini😂 ni ushamba hata wenye PhD
Sio sheria ni utaratibu tu ili isilete mkanganyiko wa watu kuchangamya wakidhani umesoma kumbe ni award tu ya kutambua mchango wako.
 
Nilikuwa nafuatilia vyuo vinavyotambuliwa na PhD za heshima walizotoa. Ukiangalia vizuri zimejaa wanaharakati, wachezaji wa michezo mbali mbali na wasanii. Sasa huyu spika kupoteza muda na kujadili haya ili tu Dr waitwe wenyewe haitawezekana na haipo kisheria kama ananyo aminisha watu. Hivyo vigezo kwa PhD za heshima hazifanani mfano Kuna wasanii wangapi Tanzania wapepata hizo honorable degrees kulinganisha na nchi nyingine? Nendeni kaangalieni Havard wametoa PhD ngapi kwa wasanii na watu wa kawaida ni nyingi. Na hivi ni vyuo bora Duniani wako wakumwaga

Huyu rapper hata hamtakuwa mnamjua

The Houston rap vet was just awarded with an honorary doctorate from Leaders Esteem Christian Bible University. Houston's Fox26 reports Z-Ro received an Honorary Doctorate Degree in Humanities and was also presented with a Presidential Lifetime Achievement

Nikiweka list hapa wasanii na wacheza sinema wa juu karibu wote wana degree za heshima

Hizo university zote ziko juu ya university yetu ya Dar🤔

Wewe kama siyo kilaza Babu Tale basi utakuwa Kasheku Musukuma
 
Hakuna sheria yeyote kwamba ukipata Honorable degree huwezi kutumia kina Dr unaweza sema wengi hawatumii kwasababu haiwasaidii chochote! Ni ushamba wetu tu huku wanasiasa hata hawataki kuitwa Dr kama sio Dr wa binadamu! . Kwenye kazi kama za kufundisha sawa lakini kazi za kawaida watu hawaitwi Dr kazini😂 ni ushamba hata wenye PhD
Acha UPUMBAVU. Kasome
 
Shida ni Mwigulu kusema bungeni kwamba PhD yake ni bora kuliko ile kama ya mama. Yaani Mwigulu kaidharau PhD ya mama. Spika alikua anaitetea PhD ya mama, na kuitupilia mbali ile ya Mwigulu ambayo ni ya kununua. Nadhani Mwigulu kaipata fresh kutoka kwa Spika ambaye ana PhD halisi ya darasani na siyo ya kununua kama ile ya Mwigulu aliyeinunua akiwa waziri wa mambo ya ndani mwaka 2018 na baada ya hapo akatumbuliwa na JPM.

Bila shaka sasa baada ya hatua hiyo ya spika, TAKUKURU watafuatilia namna Mwiguru alivyoipata hiyo PhD mwaka 2018 bila ya kuingia darasani akiwa waziri wa mambo ya ndani.

NB: Kwenye wikipedia.org imeandikwa hivi:
"..... Baada ya uchaguzi wa 2015 aliteuliwa kuwa waziri wa kilimo, ila mwaka 2016 alibadilishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani.

Mwaka 2018 aliondolewa katika nafasi hiyo na rais John Magufuli aliyetaja kasoro katika wizara yake kama vile ulaji rushwa, matumizi mabaya ya fedha na kuongezeka kwa ajali barabarani ilhali mhusika haonekani[2]. Rais alitaja mkataba wa Lugumi ambako polisi ilipata hasara ya Tsh bilioni 30, kashfa ya mkataba kwa vifaa vibovu kwenye idara ya NIDA, uigizaji wa magari na malori 700 kwa polisi, mkataba usio halali kwa sare za polisi. Pamoja na hayo watazamaji wengine waliuliza kama jinsi Nchemba alivyojaribu kutafuta mapatano na kanisa la KKKT baada ya barua ya maaskofu ya Pasaka 2018 ilijenga wasiwasi wa rais dhidi yake."
 
Wewe ni mnufaika wa huu upuuzi wa kununua kama unapenda sana "Pi eki Di" nenda darasani kasome. Spika amesema ya maana sana we PhD gani ambazo zinatolewa kama vile Press conference vile zinavyoitishwa.
Uliyemuweka kwenye avatar yako aliingia darasa gani kusomea?
 
Back
Top Bottom