- Thread starter
- #21
Ni ya maana kwa wajinga na washamba tu lakini si ya kweli kuna rappers kibao, wasanii kibao wana PhD za heshima tena vyuo vikubwa sana. Nyie wajinga jinga ndiyo mnafikiri hizi PhD ni kwa wanasiasa! Mnataka PhD za heshima apewe nani hasa!.Wewe ni mnufaika wa huu upuuzi wa kununua kama unapenda sana "Pi eki Di" nenda darasani kasome. Spika amesema ya maana sana we PhD gani ambazo zinatolewa kama vile Press conference vile zinavyoitishwa.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana eti waziri mzima unadanganya watu umepata PhD ya kusoma ukiwa waziri. Inawezekana basi ulikuwa ufanyi kazi yako ya uwaziri au umefanyiwa research na ndiyo maana degree hizi ni za vyuo vya Tanzania maana wanaogopewa. Kwa waelewa huwezi kusoma PhD na kumaliza ukiwa waziri!. Darasani tu ni miaka miwili full time masaa 6 kwa siku watuambie wameenda lini darasani masaa sita kwa miaka miwili wakiwa mawaziri, pili reseach ni wastani wa miaka 2 na wastani wa vitabu zaidi ya 90 vya kusoma watuambie wamesoma wapi vitabu 90 kwa hiyo miaka miwili na wanatakiwa wafanye presentation mbele ya jopo kwa zaidi ya mara moja. Kinachotokea ni kwenye reseach zinjafanywa lakini zinafanywa na walimu wao wa vyuo hapo Tanzania halafu jopo ya professors ambao wanachagua kusimamia nao ni watanzania tupu! hivyo wanabangaiza, wanaandikiwa na kubaki kufundishwa jinsi ya kuongea kwenye data mwishoni lakini hakuna waziri yeyote ambaye anaweza kupata PhD akiwa waziri bila kusaidiwa reseach na mtu haiwezekani na huu ndiyo ukweli. Hebu tafuta paper yeyote ambayo imeandikwa na hawa mawaziri wenye PhD fake uone! kwasababu inabidi waandikiwe na wale walimu! waelewa wote wanajua hili