Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Waliigawa nchi kama sadaka kwa wageni wakiwa wamekalia masofa mazuri, full viyoyozi, posho nzuri, nyumba nzuri, mishahara mizuri, kiinua mgongo cha uhakika, usafiri mzuri, kinga za kibunge lakini bafo wakawapa wageni nchi yote. Ama 'kweli shibe Mwanamalevya'.Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.
Kule Ujerumani kuna kiongozi wa chama cha kishenzi ... AfD ... juzi kapakwa kinyesi cha mbwa akiwa mtaani kusaka umaarufu wa chama chake. kisa: Siasa zilizosheheni USHENZI. Kwetu huku nako ...Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.
Rushwa inapotosha, speaker hajui anasema nini kwa sababu kichwani kuna mgao aliokatiwaSpika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.
Keshajua shida ipo ila amebaki kulindwa tu na yeye anogopa kuitwa msaliti na kutumbuliwa.Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.
Bibi Tena BuuwanaSpika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge ambapo amesema kuwa bunge lilishamaliza mjadala huo hivyo wabunge wanatakiwa kuendelea kuwasikiliza wananchi.
Kwani huu ni mkataba wa kwanza kupigiwa kelele. Au sababu aliyesaini ni muislamIngelikua mayahudi au wamagharibi mngepiga kelele?
Na KWELI BUNGE LILITOA MAAMUZI YAKE NA SIO YA WANANCHI WALIOWACHAGUA NDIO MAANA WANANCHI TUNAPINGA SAKATA LA BANDARISpika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.