Manara madako yakeSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Unajua kule bungeni, lengo la ubunge ni uwakilishi na yeye (Manara) ama mtu anayeweza kuzungumza na kuweka hoja vizuri. Kwa kweli atakuwa mwakilishi mzuri kwa wananchi watakaomchagua"
Upuuzi wa Tanzania, Nani alituroga! Sasa manara ni Nani? Ana mchango gani kwenye sekta ya Sanaa, michezo, uchumi? Ana, impact gani katika mukatadha wa, nchi, ukiacha uropokaji na makelele? Hana tofauti na wema sepetu, kajara(huyu cha pekee kinachomuweka mjini, ni, msambwanda tu),Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Unajua kule bungeni, lengo la ubunge ni uwakilishi na yeye (Manara) ama mtu anayeweza kuzungumza na kuweka hoja vizuri. Kwa kweli atakuwa mwakilishi mzuri kwa wananchi watakaomchagua"
Pia soma > Pre GE2025 - Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa
RubbishSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Unajua kule bungeni, lengo la ubunge ni uwakilishi na yeye (Manara) ama mtu anayeweza kuzungumza na kuweka hoja vizuri. Kwa kweli atakuwa mwakilishi mzuri kwa wananchi watakaomchagua"
Pia soma > Pre GE2025 - Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa
Manara anafaa kuwa mbunge, kama msukuma ameweza yeye ashindwi ni nafasi tuSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.