Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaongea upuz mtupuKama mgeni akija ghafla hapa nchini akasikia vitu wanavyoongea na hawa ambao ndio watunga Sera na kuhakikisha wanawatoa wananchi wao kwenye misery...; Anaweza kudhani mambo ya maana yote yameshughulikiwa (issues) na sasa tuna muda wa kutumia muda wetu kwenye non issues (blah, blah, blah)
Akili ya wanaccm wengi huwa ndio iko hivyo halafu mnategemea maendeleo ya kweli yapatikane!Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Unajua kule bungeni, lengo la ubunge ni uwakilishi na yeye (Manara) ama mtu anayeweza kuzungumza na kuweka hoja vizuri. Kwa kweli atakuwa mwakilishi mzuri kwa wananchi watakaomchagua"
Pia soma > Pre GE2025 - Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa