Pre GE2025 Spika Tulia Ackson: Natamani kumuona Manara bungeni. Naibu Spika akistaafu siasa nitamshauri Manara akagombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mjengo unawajaza watu wa ovyo ovyo wapiga domo
Ndomana nasema nchi inatakiwa kutokee amshamshaa kama wanayopata wakongo labda akili zetu zitakaa sawa

Ova
 
Wanaongea upuz mtupu

Ova
 
Akili ya wanaccm wengi huwa ndio iko hivyo halafu mnategemea maendeleo ya kweli yapatikane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…