Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Sio watu wote wanaweza kua neutral kama marehemu mzee Samuel sita.......Angewaacha watu wachangie kwa uhuru.
Pili ashauri kwa nia njema Mungu angemtetea
Issue tungetengeneza KATIBA MPYA labda itusaidie kupunguza mamlaka ya Rais....Maana Mamlaka yake ni kama MUNGU Kwa hii KATIBA tuliyo nayo.......
Ni kinyume Zaid ya sana kwenda kinyume na mtukufu Rais wa nchi na ukabakia salama.....
Kuna clip ya mpina Ina trend kwenye mitandao ya kijamii yupo against Msimamo wa serikali wa kuharakisha ubinafsishaji wa bandari..........
Sijajua kama mpina ataweza kutoa mtazamo kinzani nawa chama tawala....