Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

Angewaacha watu wachangie kwa uhuru.
Pili ashauri kwa nia njema Mungu angemtetea
Sio watu wote wanaweza kua neutral kama marehemu mzee Samuel sita.......

Issue tungetengeneza KATIBA MPYA labda itusaidie kupunguza mamlaka ya Rais....Maana Mamlaka yake ni kama MUNGU Kwa hii KATIBA tuliyo nayo.......

Ni kinyume Zaid ya sana kwenda kinyume na mtukufu Rais wa nchi na ukabakia salama.....

Kuna clip ya mpina Ina trend kwenye mitandao ya kijamii yupo against Msimamo wa serikali wa kuharakisha ubinafsishaji wa bandari..........

Sijajua kama mpina ataweza kutoa mtazamo kinzani nawa chama tawala....
 
Kale ka Ringo hata Ngiri anakazidi akili
 
Upo sahihi kabisa !
 
Mimi namshangaa Msomi nguri wa Sheria ananajisi taaluma yake kwa kuwapotosha wabunge.

Kwa uelewa wangu huo mkataba siyo kati ya Tanzania na Dubai, kwa jinsi Spika anavyotaka Wabunge waelewe. Ni mkataba kati ya DP World na Tanzania ambaye anatumia mgongo wa nchi yake kupata ridhaa ya kuendesha Bandari kwa Ibara ambazo zinaifunga Tanzania kwa masharti magumu (Ibara ya 23, 25 na 26).

Isitoshe miradi iliyotajwa kwenye Jedwali 1 itafuata masharti yaliyomo kwenye Mkataba huo ukiwekwa kisheria.
 
Anaweza kunyimwa nafasi na akipewa ataandamwa na zomea zomea au miongozo
 
Huu mkataba unatosha kumfurusha kiongozi mkuu kwenye kiti.
Bahati mbaya hatuna upinzani
 
Hakuna cha aibu wala nini. Kikubwa Mwarabu apeww EFD recept yake tu.
 
aibu ipi?kwa kosa gani?acha uzushi
 
Inshangaza sana. Speaker anatakiwa kuwa neutral ili kuruhusu mjadala uwe huru. Lakini huyu bibi hadharani bila aibu ameamua kuonyesha wazi kuwa anawataka wabunge wote waunge mkono azimio hili.

Hili bunge letu liko scripted, yani wanatuigizia hapa naangalia tu kupoteza muda lakini natamani sana kuizima hii TV nilale.
 
Rimoti iko ikulu
 
Ni lini wakaogopa aibu au laana? Wao wanajiamin hata wafanye nn watakua salama maan kila atae ingia atawalinda!! Huo ndio utaratib wao miaka yote. That's why wanafanya jinsi waonavyo wana maslahi!!
 
Ni lini wakaogopa aibu au laana? Wao wanajiamin hata wafanye nn watakua salama maan kila atae ingia atawalinda!! Huo ndio utaratib wao miaka yote. That's why wanafanya jinsi waonavyo wana maslahi!!
Ipo siku kinga zitafumuliwa ili washtakiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…