Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Hivi kuna bunge Tanzania??Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.
Kuna kusanyiko la majangili tupuHivi kuna bunge Tanzania??
Kwani lile ni Bunge au kijiwe cha Wasaka fursa wa CCM;angewapa tu siku ya leo yote au wiki nzima Ili wampongeze!Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.
Kule kuna majitu majinga tupu"Kwanza nitoe pongezi Kwa Mama yetu ######" ( Dakika 13 zimekatika)
" Sasa naomba nichangie Mada iliyopo mezani, yaani Kwa machungu kabisa nasema ##""#"££#*###......"
( Dakika 2)
( Mara dakika zimeisha)
"Mh Spika naomba uniongezee Muda kidogo ili nimalizie kuchangia jambo ni la Muhimu sana Kwa maslahi mapana ya taifa letu ..........................."
WTF
Biashara ya kupongeza lazima ikome wananchi wamechokaWameshaanza kusoma alama za nyakati, muda hauwasubiri mara 25 hii, bado watu wanapongeza ilhali maisha yanazidi kuwa magumu.