Spika Tulia amuonya Naibu Waziri Katambi kutotumia lugha zisizofaa mfano "waliokosa mikopo ni Wakenya"

mavuvuzela ya kujipendekeza kina ummy, nchemba, riz moko, gwajima , yaani futuhi tupu
 
Spika atende haki, anapomkemea Katambi aliyewekwa na Serikali ya CCM, pia awakemee wabunge feki 19 waliowekwa na Serikali isivyo halali. Spika akimkemea Katambi peke yake na kuwakumbatia hawa 19 feki, hatendi haki.
 
Hajui ku address hadi anahusisha nchi jirani ? Hakuna diplomatic damage hapo ?
 
Waziri katambi nimekusikia bungeni ukitaja vijana kuwa kati ya vijana 10 basi 8 wana ajira na 2 hawana ajila.

pili ukadai mikopo imetolewa zaidi ya bilioni 150 kwa vijana.

Tatu ukatupeleka kutuambia vijana wanalalamika kukosa mikopo inawezekana ni wakenya. ili ili bado tulimsikia waziri wa fedha naye kutuambia asiyetaka kukubali akahamie burundi.

Asilimia kubwa ya vijana hawana ajira na swala mikopo kwa vijana kupata ni ngumu kutokana na mazingira ya masharti ya mkopo.

Nimeshangazwa sana na hotuba yake mpaka nikajiuliza huyu katambi kawa tambi sasa.
 
Walikua hawamjui vizuri Katambi nadhani, now they know.
Katambi ukimsikiliza ni mjinga sana ... anarefusha manenooo na kutoa sifa kwa rais mpaka inaudhi.... huwa hajui kuchagua maneno wala hana weledi... inshort ana kile kipaji alichosema Mwalimu
 
Aisee awamu hii tunatukanwa tu.

Kaanza Makamba,

Kafuatia Nape.

Mwigulu nae.

Katambi kaona haitoshi karusha yake.

Rais naye kasema anatusuta na miradi yake.
 
Ashibae hamjuwi mwenye Njaa huu ni usemi WA kweli
 
Muende kwa wakati labda lengo la Mh Naibu Waziri lilikuwa ni zuri la kuwasuta wapotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…