Waziri katambi nimekusikia bungeni ukitaja vijana kuwa kati ya vijana 10 basi 8 wana ajira na 2 hawana ajila.
pili ukadai mikopo imetolewa zaidi ya bilioni 150 kwa vijana.
Tatu ukatupeleka kutuambia vijana wanalalamika kukosa mikopo inawezekana ni wakenya. ili ili bado tulimsikia waziri wa fedha naye kutuambia asiyetaka kukubali akahamie burundi.
Asilimia kubwa ya vijana hawana ajira na swala mikopo kwa vijana kupata ni ngumu kutokana na mazingira ya masharti ya mkopo.
Nimeshangazwa sana na hotuba yake mpaka nikajiuliza huyu katambi kawa tambi sasa.