Spika Tulia amuonya Naibu Waziri Katambi kutotumia lugha zisizofaa mfano "waliokosa mikopo ni Wakenya"

😆😆😆 mbona ni kama mipasho sasa

Kuna mmoja wakati ana anza kujibu swali akaanza na msema wali wa kushiba utaujua tu katika sahani ..... 😂😂😂😂
 
Ndio maana huwa wanasema, ukipima akili ya mwanasiasa na nguruwe, basi utagundua nguruwe ana akili kubwa kuliko mwanasiasa...
 
Ndio maana huwa wanasema, ukipima akili ya mwanasiasa na nguruwe, basi utagundua nguruwe ana akili kubwa kuliko mwanasiasa...
Acha kumtukana mwenyekiti wetu mbowe kwa Kuwa eti ni mwanasiasa basi nguruwe anamzidi akili. Siyo kweli kwamba wanasiasa wote wanazidiwa akili na nguruwe.
 
Halafu Jana kule Twitter akakanusha eti hakutamka hivyo bali wanahabari wamemripoti vibaya kwa Nia ya kugombanisha serikali na wananchi.

Huyu mbwa anadhani bado tupo enzi ya Magufuli kwamba kila kosa walikuwa wanatupiwa wanahabari kwamba wanataka kugombanisha serikali na wananchi

Moja ya vijana wa hovyo
 
Moja ya masalia ya Magufuli ambayo 2025 kwa namna yoyote ile hayatarejea tena Bungeni.

Acha ujinga ucmtaje marehem kwa mihemko yako km ni hasira c mmeambiwa mtapewa malipo ya vyeti fake?
 
Shauri yake, amuulize yule RC Chalamila aliyejifanya yeye Ze Komedi sana.
 
Sasa kama wote hao hawafai, tuwapeleke akina SUGU, LEMA, MNYIKA nk
 
Katambi ni muendelezo wa yale magenge yaliyoasisiwa na Magufuli nashaanga Polepole anavyosema kataa wahuni huku hawa wahuni anajifanya hawaoni.

Hawa washamba wataendelea kusumbua tu sababu exposure ni sifuri.
 
Hizi
Hizi kauli za aina hii siyo kauli zinazoakisi upeo na busara za viongozi mara mwingine aliwahi kusema wanaopinga tozo wahamie Burundi leo mwingine anasema vijana walokosa mikopo ni wakenya mambo gani haya? Halafu polepole akianzisha shule ya uongozi mnakataa mnakataa nini sasa wakati mambo yenyewe mnayaona yalivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…