Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM wakishiba lazima wawe na dharauSpika Tulia amemtaka Naibu waziri Katambi kujibu upya swali la Mbunge wa Chadema Mh Sophia Mwakagenda.
Katambi alisema waliokosa mikopo ni Wakenya.
Tulia amesema kauli ya Katambi imezua tafrani kwa vijana nchini hivyo amemtaka Naibu waziri kuwa Makini na kauli zake
Chanzo: Channel ten
Kuhusu Kauli ya Katambi, Soma > Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya