Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

Bettina kahongwa
 
huyo mleta mada si unajua kuwa ni ccm damu damu.?
umeshajiuliza kwanini adui yako anajiunga na wewe?

Ww wala hujui aina yake ya uandishi. Siku zote amekuwa akisimamia haki na sio uccm.
 
So zile basi mpyaaah zilikuja special kwa kazi za kibunge!?
300M Kwa siku 10 siyo haba!
Maisha Bora Kwa kila Mtanzania, kazi na BATA iendelee!
 
Tulia hapo ana zake 5 milioni
 

Ameuliza pia kama mchakato wa kumpa zabuni ulifuatwa, lakini pia ameuliza kama huo siyo mgongano wa kimaslahi? Yaani Mbunge kupewa zabuni ya kuwatembeza wabunge wenzake kwa kutumia mabasi yake!

Tolea ufafanuzi kwenye hili pia.
 
Dawa ni kuiondoa tu CCM, haya mengine yataji set yenyewe.
Hawa watu wamegawana maeneo ya kula hela zetu, wamekuwa wamoja sanakatika kutafuna hela zetu, usitegemee wtatofautiana katika hill, wanaungana mkono sana kwa sababu ya kula hela namna hii
 
Acha wale tulimpata Magufuli mzalendo na yeye mlilalamika wamekuja wapigaji na wenyewe mnalalamika.

Shida ya watanzania hawajui wanachokitaka.
 
Jamaa unaakili sana
 
Bora wakodi asee ili tusihusike kwenye maintenance maana huko ndiyo balaa angalia mwendo kasi nusu ya mabasi yamepaki
 
Nadhani hiyo ni pesa kidogo sn yangekuwa ya serikali service tu ya gari moja kabla ya safari sijui na vipuri milioni 20 kila moja bado mafuta na dereva na ufisadi, bora serikali iwe inakodi magari isipokuwa gari ya Rais, Makamu wake, PM, Jaji Mkuu na Spika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…