Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabasi ya nini wakati wote wana V8?Aibu sana bunge kukosa hata mabus ma5 ya ya mchina wakati hata chuo cha nyuki morogoro kina bus 2
Mafuta angewaekea nani?Mabasi ya nini wakati wote wana V8?
Unamsujudia wewe na umbulula wako unayeishi kwa kutegemea akili ya mtu mwingineHuyo unayemleta ubishi wa kitoto hata mkusanyane ukoo mzima hamfikii IQ aliyonayo yeye mtu mmoja tu.
Kwa kifupi hujielewi.
Nakazia ✍️✍️✍️Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hata kuwalipa POSHO na MISHAHARA Akina MDEE na GENGE LAKE ni UFISADI kwani Sio Wabunge HALALI hawana CHAMAWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Cha muhimu ni kujipanga kwenye connection na wewe uambulie makombo.Bomba la hela limefunguliwa awamu hii. Kazi kwenu
Huyo Shabiby atakuja kuwafaa wakati wa kampeni za uchaguzi atawapa hayo mabasi yake mfanyie kampeni na mtanyamaza kimya, kwa kisingizio mtakuja kumuangalia mbele ya safari, hapo ni CCM wanamlipa fadhila.
Ufisadi CCM ni nyumbani kwake.
Wanaingiziwa pesa ya mafuta kila mwezi.Mafuta angewaekea nani?
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee VUTA-NKUVUTE hicho kiwango je ni pamoja na kuwekewa mafuta au kiwango hicho mafuta anaweka mwenyewe shabiby?Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kwa watu tunaodeal na hizi biashara hili ni lazima ulizingatie ukitoa gari kwenye ruti yako hakikisha unapata kile unachopata siku zote na si vinginevyo.Ndg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ambapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali ni Je!
Ni sawa siku ambayo wabunge hawana ratiba gari lisiingize fedha kisa limekodiwa na wabunge huku likiwa limeondolewa kwenye mfumo wa kuingiza fedha?