Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Ni ajabu tunaongozwa na matajwa na hisia za mwenyekiti wa CCM. " Mwenye shamba" hizi dharau zinapaswa kukoma kwa Katiba Bora.
 
Ndg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ampapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali niJje! Ni sawa siku ambayo wabunge hawana ratiba gari lisiingize fedha kisa limekudiwa na wabunge huku likiwa limeondolewa kwenye mfumo wa kuingiza fedha?
Nafikiri point ya mtoa mada ni kuhusu "conflict of interest"....
 
hyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli

Katiba mpya ilidaiwa (sio kuombwa) na Magufuli alijibu kuwa haimo katika ajenda zake.

Baadaye akaongeza kuwa katiba mpya inadaiwa na wanasiasa wenye uroho wa madaraka ili iwasaidie kushinda uchaguzi.

LAKINI wananchi wanataka maendeleo tu.

Akafunga mjadala kwa nguvu za dola.
 
Sasa kama mabus yalikuwa yaende Dar-Dom-Dar na kulaza 1.5mil per day....tumemkodisha mtu anayelipa baada ya miezi mitatu kwanini tusimchaji 3mil?..

Lakini pia huyu Shabiby ni Mzawa (hapo sasa) na mabus yake yanainsurance na tuna ile sera ya Wazawa kwanza....

Kwanini tutangaze tenda wakati tuna mtu around anaweza kutupa mabus std? Na tukaacha mambo ya michakato?
 
hyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli

Wanamsumbua sana huyu mama.

..Wapo wanaomchukia kisa imani yake
..Wapo wanaomchukia kisa mzanzibari

Na hata waisilamu pia wapo baadhi wanafuata mkumbo.

Lakini kuna wakristo wengi tu wanampenda huyu mama. Wabarikiwe sana
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
CCM ni mchwa
 
sasa kama mabus yalikuwa yaende Dar-Dom-Dar na kulaza 1.5mil per day....tumemkodisha mtu anayelipa baada ya miezi mitatu kwanini tusimchaji 3mil?..

Lakini pia huyu Shabiby ni Mzawa ( hapo sasa) na mabus yake yanainsurance na tuna ile sera ya Wazawa kwanza.... Kwanini tutangaze tenda wakati tuna mtu around anaweza kutupa mabus std? na tukaacha mambo ya michakato?
Umepuyanga sehemu
Shabiby sio peke yake mzawa mwenye mabus, na ndio neno tender huja ili watu wote wawekwe kwenye uwanja sawa ili mwenye sifa ashinde.

Ukisema hamtaki milolongo sababu ya tender mtakua wendawazimu maana kila siku mnasema mnafuata sheria na utaratibu
 
Wasiojulikana wamepungua.
shida kuna watu walikaa kimya kipindi Cha magufuli na kumsifia lakini Cha ajabu Sasa hivi na wao wameibuka kuunga katiba mpya.ni Jambo zuri lakini tuwahoji kwanini Sasa? Na sio kipindi Cha magufuli?
Uenda Samia ana maadui ndani ya ccm.
 
Hapo Dodoma nani mwingine ana uwezo wa kutoa basi 10 na biashara yake ikaenda kama kawaida?

Kwa mil3 kama wese anajaza mwenyewe Shabiby ni sawa.

Kule migodini basi za wafanyakazi zinapewa laki 5 kwa siku na wese wanaweka wenyewe mgodi.
 
Ndg hapa simtetei mfanyabiashara, ila ebu tuliweke upande wako, gari linafanya kazi na ni gari la biashara ampapo kila siku kama ni zima likiwa halina ubovu linaingiza fedha, Swali niJje! Ni sawa siku ambayo wabunge hawana ratiba gari lisiingize fedha kisa limekudiwa na wabunge huku likiwa limeondolewa kwenye mfumo wa kuingiza fedha?
Hajui kampuni gani waweza chukua mabasi Kumi halafu bado kabaki na mabasi kwenye route zake bila kuathirika

Shabby ana mabasi ya uhakika tena siyo ya spana mkononi
 
Na wewe nunua mabasi ya mchina upewe tenda!

Watu wako bungeni kibinafsi zaidi.
Issue si kununua mabasi bali ni swala la kimaadili, mbona wafanyakazi wanabanwa wanapotaka kutenda shughuli yoyote ya serikali kuwa anatakuwa na conflict of interest iweje mbunge apewe tenda kwani yeye si mtumishi?
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Yaani uko lumumba (hell) kisha unajiona ni mtakatifu!! Ulifikaje hapo?
 
issue si kununua mabasi bali ni swala la kimaadili.mbona wafanyakazi wanabanwa wanapotaka kutenda shughuri yoyote ya serikali kuwa anatakuwa na conflict of interest iweje mbunge apewe tenda kwani yeye si mtumishi?
Kuna tofauti kati ya mbunge na Kampuni ya mabasi!
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Sio bunge tu tenda karibu zote za serikali zinapewa kampuni zinazomilikiwa na wanasiasa wa CCM, ndio maana hutumia nguvu nyingi na haramu kuwa madarakani
 
Nililiona moja rujewa nikajiuliza imekuja kufanyaje huku
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

"Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!"

Ling'ombe gani lina tatizo na ukweli huo?
 
Je hapo wamezidi urefu wa Kamba au wapo Within their Kamba's Distance ?

Hii nchi ni kama watu wameamua kushindana nani mlafi zaidi (Bila woga wala aibu)
 
Back
Top Bottom