Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

Kwani Spika na bunge wamezidisha urefu wa kamba yao katika kutekeleza majukumu kuliko walivyo ruhusuwa? Ungeanzia hapo.

Yale mabasi ya serikali/ bunge yaliyo nunuliwa kipindi cha nyuma kwa shughuli kama hizi yako wapi?
Nani alikwambia haikuombwa au ulikuwa nje ya nchi?
 
Siyo ufisadi Gali unadhani linainguza Shilingi ngapi kwa siku?

Fanya
Dar- Mbeya
 
issue si kununua mabasi bali ni swala la kimaadili.mbona wafanyakazi wanabanwa wanapotaka kutenda shughuri yoyote ya serikali kuwa anatakuwa na conflict of interest iweje mbunge apewe tenda kwani yeye si mtumishi?
Ni kweli kabisa haileti afya katika mambo ya check and balance

mtu ni mbunge halafu anapewa tenda na bunge hilo hilo hapo kuna conflict of interest mbona watu wa Tamisemi hawaruhusu maded na madiwani wao kupewa tenda kwenye halmashauri wanazozitumikia

licha wa watu wanaona eti tunamuonea wivu huyo shabiby wala isitoshe hiyo tenda ilitangazwa lini na wangapi waliomba
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Pole mzee, mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hata kile kidogo atanyang'anywa.

Hapo hakuna ufisadi, kwa mfano, Shabiby Luxury buses zake route za Dom - Dar is around 40,000 kwa mtu mmoja, sasa bus lina viti 65, hivyo hata asingekodisha kwa Bunge, kwa siku bus moja linamuingizia 65 x 40,000 = Tshs 2,600,000

Sasa waliokodishiwa wabunge ni new buses kabisa, nauli per person ni 50,000; so kwa watu 65 ni sawa kabisa kulipa bus moja kwa mil 3 kwa siku

Hakuna ufisadi hapo, Mzee Tupatupa naona hesabu somo gumu kwako.
 
Aibu sana bunge kukosa hata mabus ma5 ya ya mchina wakati hata chuo cha nyuki morogoro kina bus 2
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huyo binti ni hopeless kati ya watu waliobebwa
 
Conflict of interest hawaijuhi hao
 
Ulitaka wakodi mghamba au kimbinyiko sio? mana naona shida yako ni walivyokodi mabasi ya shabiby
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wabunge wangapi?
Kama wabunge wote 357.
Kama wakitumia magari yao kwa siku 10 mikoa 10 gharama yake itakuwaje?

MAKISIO YANGU
Bei ya mafuta 2300
Kila Mbunge lita 200 kwenda na kurudi
357x300x2300 = 246,330,000/-
NOTE:Sijui ni mikoa mingapi?
 
Zis iz bongo a.k.a shamba la bibi, wachache wanajivunia.
 
Tutaimba lugha moja siku chache zijazo.

Screenshot_20220322-132944.png
 
Hapo Dodoma nani mwingine ana uwezo wa kutoa basi 10 na biashara yake ikaenda kama kawaida?

Kwa mil3 kama wese anajaza mwenyewe Shabiby ni sawa.

Kule migodini basi za wafanyakazi zinapewa laki 5 kwa siku na wese wanaweka wenyewe mgodi.
Unajua maana ya ushindani,kila mtu angetenda kutokana na uwezo wake,labda kuna mwingine angeleta bei ndogo ama badala yake mwingine angetaja kuchaji kutokana na Km zitakazotembea
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Je, kanuni za manunuzi serikalini zinaruhusu kununua kwenye duka la mwajiriwa wake?
 
Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Ata baada ya magu kuondoka imejihidhihirisha kua katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa yasiyohitaki kufumbiwa macho zaidi.
 
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.

Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.

Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.

Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.

Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?

Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Acha wivu wa kijinga, hapo kwenye kukodi mabasi ya Shabiby yana uhusiano gani na Katiba mpya? Halafu huna uelewa kabisa wa mambo ya kukodi mitambo. Ni wananchi gani wanataka Katiba Mpya?
 
Huyo unayemleta ubishi wa kitoto hata mkusanyane ukoo mzima hamfikii IQ aliyonayo yeye mtu mmoja tu.

Kwa kifupi hujielewi.
 
Back
Top Bottom