Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa .
Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!.
Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi Kumshambulia MPINA na sio kile alichokileta MPINA ambao ndio msingi .
Sasa Basi, Umekua ukipimwa na Umeonekana Hufai na hili la Leo ndio Msumari wa Mwisho katika Ndoto zako za Kisiasa Hapa Nchini, Watu walijua utaingia, na Kweli Umeingia .
LUAGA MPINA kama Mbunge wa kisesa, mtoto wa masikini, Hakua na Uwezo wowote wa kukusanya Taarifa na shahidi kama alivyozileta, Ni Ukweli uliowazi, Nyuma yake ni DOLA na Kundi la Watanzania wenye mapenzi mema ya Nchi hii.
Kama Alivyomfanya MPINA suala la Bandari na Nchi Ikasimama, ndivo ilivyo na itakavyokua .
Inawezekana ikawa ni shukrani Kwa sababu Mumeo alichaguliwa na kupendekezwa na haohao Mafisadi na watesi wa watanzania.
DOLA NI KUBWA KULIKO CCM , NCHI NI KUBWA KULIKO CCM , MARAIS WATAPITA, ILA NCHI ITASIMAMA , CCM ITAITEGEMEA DOLA, NA DOLA HAITOKAA KUKUBALI HAYA .
BIBI TOZO, JIANDAE 2025.