Spika Tulia kila kitu hujui ni bora ujiuzulu

Spika yupo SAHIHI unajua bunge ni chombo Cha wananchi na watu mbalimbali wanafuatilia Sasa unapoingiza maneno ya ufupisho wengi wanaweza wasielewe hata mm mm mwenyewe sijaelewa na spika sio Kwamba hajui ila anasimama Kwa niaba ya wananchi wote wanaojua na wsiojua
 
Fact
 
Tulia ni miongoni mwa wasomi wenye PhD wanaonipa mashaka sana.

Sisemi ana PhD fake hapana lakini anaitumia vibaya sana.
 
wewe ndio haujui sheri na miongozo,anachosema sio yeye kama yeye ajui,,Anacjotaka wafafanue ili kila mtu aelewe kusiepo hojaji.
 
Huyu dada yetu hajui mambo mengi.
Infact, wanasiasa wengi wa zama za leo wenye nafasi, hawajui mambo mengi sana. Tatizo ni kwamba hawajui kama hawajui. Utakuta mtu anauliza swali au anazungumzia jambo unabaki tu kujiuliza huyu mwenzetu kakulia nchi gani au kijiji gani?
 
Ni kweli, lkn yeye amezidi kwa kubishania vitu vidogo vidogo ni mara 100 akakaa kimya ili kulinda heshima ya kiti.
 
Tulia ni PhD wewe sio wapi na wapi? Supika anaposema mimi sijui TRAB nieleze siyo kwamba hajui ila anataka ajieleze ile na wenginecwanaomsikiliza wajue ili kuwe na context kwenye hoja yake sijui kama hapo labda nimekubom? Ni njia nzuri pedagogically (are we together?) kumfundisha mtu jambo kwa njia ya maswali na majibu. Mwache Supika atumikie Nji yake usisahau ni mhimili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…