Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

Spika hajasimamia serikali bali anataka ukweli usemwe
 
Ole Sendeka hana uwezo wa kujenga hoja ya kisheria huku akitegemea kuandikiwa vifungu vya sheria na NGO's za akina Ngurumwa na Poroko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…