Spika Tulia, Tii Sheria Bila Shuruti

Spika Tulia, Tii Sheria Bila Shuruti

Kwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti?

Basi ushauri ule ni kwa watanzania wote ukiwepo wewe. Sasa kwa nini utake ushurutishwe suala la Halima Mdee na wenzake kuondoka bungeni wakati muhimili wa sheria umesha tafsiri kuwa hawastahili kuwa ndani ya jengo letu tukufu?

Unaujua utukufu wa jengo hilo ambalo hata Rais kuingia humo lazima kibali kitolewe?

Tafadhali onyesha mfano wa kutii sheria bila shurti kwa kutekeleza amri ya mahakama na muheshimu Rais ambaye ni mwenyekiti wako wa chama na ametamka kutaka maridhiano.

Kaka yako Ndugai alionyesha kumdharau yaliyompata unayajua basi nawe endelea. Lakini pia nasi wananchi tutakushukia kama mwewe.

Tunakupa mpaka saa 7 mchana uwe ume tii sheria bila shurti.

View attachment 2270261Kikao

View attachment 2270261
Spika wa Bunge ashtakiwe mahakamani.

Kikao kilichaweka KINGA ya kutoshtakika Spika ni batili.

Ktk kuelekea kuandika KATIBA mpya, wote wawe chini ya Sheria.

Mungu pekee ndo hashtakiwi, bt wengine wote wawajibike Kwa makosa waliyotenda wakiwa madarakani. Amen
 
Kwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti?

Basi ushauri ule ni kwa watanzania wote ukiwepo wewe. Sasa kwa nini utake ushurutishwe suala la Halima Mdee na wenzake kuondoka bungeni wakati muhimili wa sheria umesha tafsiri kuwa hawastahili kuwa ndani ya jengo letu tukufu?

Unaujua utukufu wa jengo hilo ambalo hata Rais kuingia humo lazima kibali kitolewe?

Tafadhali onyesha mfano wa kutii sheria bila shurti kwa kutekeleza amri ya mahakama na muheshimu Rais ambaye ni mwenyekiti wako wa chama na ametamka kutaka maridhiano.

Kaka yako Ndugai alionyesha kumdharau yaliyompata unayajua basi nawe endelea. Lakini pia nasi wananchi tutakushukia kama mwewe.

Tunakupa mpaka saa 7 mchana uwe ume tii sheria bila shurti.

View attachment 2270261
Kiukweli huwezi kumtofautisha Tulia Ackson na Magufuli
 
Back
Top Bottom