Spika Tulia tuambie, ushahidi wa Mbunge Mpina umeuonaje?

Ccm itaendelea ku
Vipi hoja za Mpina? Ni za uongo?

Ccm itaendelea kuwatia madole hadi mkome.
 
Acha mkuu kuzushia watu uongo....sio poa kabisa.
 

Pamoja na yote haimaanishi kwamba hawezi kuongelea ufisadi wa sukari eti kwa kuwa tu alikosea (kwa hukumu yako) huko nyuma. Hoja iliyopo mezani inajibiwa kwa hoja mezani sio historia
 
Unamawazo ya kitoto sana.

Watu wanaiba. na huku maisha yakiendelea kuwa duni.

Watu wanapeana deal, tunalipa 1000 zaidi ya bei harisi. Ubora wa sukali uko duni.

Changamka ili nchi ipige hatua.

Tunahitaji majibu.
Wacha wivu kenge wewe. Nyie mlipokuwa mnaiba awamu ya Magufuli unadhani tulikuwa hatuumii? Tena mlikuwa mnaiba, mnaua, mnateka watu na kutubana hata uhuru wa maoni
 
Wewe una haki ya kumpeleka Bashe kwenye vyombo vya dola na siyo kulialia hapa. Sisi tunataka sukari yenye ubora kwa bei ya Tsh 1,800/= kwa kilo.

Wacha wivu Bams kama uko nje ya fursa shauri yako. Mwanaume kulialia ni upimbi, toka nje tafuta fursa upate chochote

Ingekuwa Bashe kayapa leseni hayo makampuni na hayajaleta sukari, au yameleta sukari na tunanunua Tsh 4,000- 10,000 kwa kilo ningeona kuna shida.

Halafu hiyo hela hayo makampuni ya Stationery hayajachukua Serikalini. Sjifa iko wapi? Au mnakariri tu makasiriko ya akina Luaga Mpina walioachwa kwenye baraza la mawaziri ?
 
Pamoja na yote haimaanishi kwamba hawezi kuongelea ufisadi wa sukari eti kwa kuwa tu alikosea (kwa hukumu yako) huko nyuma. Hoja iliyopo mezani inajibiwa kwa hoja mezani sio historia
Hoja iliyopo mezani ni Mpina kutumika na Tajiri wa Superdoll ambaye ni mmiliki wa Mtubwa Sugar na Kagera Sugar, period
 
Unashida sehemu.

Kumbe wewe unaleta Siasa. Sisi tunaleta fact. Mapenzi yako kwa Serikali yamekifanya uwe kituko. Au kwa vile unatumia ID fake.
Na wewe unatumia ID gani? Kwani JF Member ndiyo jina lako la kwenye NIDA?
 

Nimesikiliza Kiaka cha Bunge .... kwa kweli nchi yetu ina matatizo makubwa sana. Tuna Wabunge wajinga jinga tu Bungeni hakuna anayefanya kazi kwa kutumia akili yake ... ni kama vile kuna mtu behind yao kashika remote control anawaendesha anavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…