Spika Tulia: Tunategemea Bajeti ya Kilimo ndio itakuwa kubwa mwaka wa fedha ujao

Spika Tulia: Tunategemea Bajeti ya Kilimo ndio itakuwa kubwa mwaka wa fedha ujao

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Spika wa bunge Dr Tulia amesema bunge linaanza mkutano wa bajeti wiki ijayo na wanategemea baada ya serikali kuwa imeingia Mikataba mingi ya kilimo ambayo imepitia bungeni basi Bajeti ya kilimo ndio itakuwa kubwa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama.
 
Na hili wale wenye chuki na Samia watapinga..

Saizi Samia abadili strategy aanze kuwaambia watu mapema kwamba Wana nafasi na wako huru kumchukia Samia as individual lakini pia wawe tayari kulinganisha Takwimu zake na waliotangulia.
 
Waongeze bajeti ya elimu pia. Yaani iwe hivi, Elimu, Afya, Kilimo.
 
Hongera maana kilimo ni uzalishaji ,kilimo kikisimamiwa na kufadhiliwa vizuri. Kinaweza kufadhili afya pamoja na elimu.
 
Barabara nne kutoka Igawa mpaka Tunduma vipii Spika???
 
Wakulima wapewe ruzuku...[emoji817] speaker, msibague aina ya kilimo hata hivyo, kilimo ni uti wa mgongo..
 
Mh spika tengeneza barabara za Mbeya kw sababu Mbeya ni jiji lilitolekezwa na wqnasiasa kisa upinzani.WATU WA MBEYA NAO NI WALIPA KODI
 
Spika wa bunge Dr Tulia amesema bunge linaanza mkutano wa bajeti wiki ijayo na wanategemea baada ya serikali kuwa imeingia Mikataba mingi ya kilimo ambayo imepitia bungeni basi Bajeti ya kilimo ndio itakuwa kubwa.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama.
Betina kama kana akili flan hivi
 
Waongeze bajeti ya elimu pia. Yaani iwe hivi, Elimu, Afya, Kilimo.
Hiyo ndogo Huwa inafika asilimia Gani?
Rais anatuambia vitu vitapanda bei,badala ya kuja na dira ya kukabaliana na changamoto za uchumi?
 
Na hili wale wenye chuki na Samia watapinga..

Saizi Samia abadili strategy aanze kuwaambia watu mapema kwamba Wana nafasi na wako huru kumchukia Samia as individual lakini pia wawe tayari kulinganisha Takwimu zake na waliotangulia.
Inategemea zitaenda wapi zinaweza kuwa useless tuu
 
Back
Top Bottom