Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Spika wa bunge Dr Tulia amesema bunge linaanza mkutano wa bajeti wiki ijayo na wanategemea baada ya serikali kuwa imeingia Mikataba mingi ya kilimo ambayo imepitia bungeni basi Bajeti ya kilimo ndio itakuwa kubwa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
(Nje ya uzi)
Mfundisheni Spika wenu namna ya kuvaa, huwa anatia aibu hadi akiwa ughaibuni anaonekana kama Mwajuma ndala chafu.