johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Toa M ya mwanzo na la ya mwisho!John wewe bila shaka ni Mzito Kabwela🤸
Kwa sababu Gani?Toa M ya mwanzo na la ya mwisho!
Kilimo KwanzaBarabara nne kutoka Igawa mpaka Tunduma vipii Spika???
Ianze chakula, afya njema then elimu bora.Waongeze bajeti ya elimu pia. Yaani iwe hivi, Elimu, Afya, Kilimo.
Betina kama kana akili flan hiviSpika wa bunge Dr Tulia amesema bunge linaanza mkutano wa bajeti wiki ijayo na wanategemea baada ya serikali kuwa imeingia Mikataba mingi ya kilimo ambayo imepitia bungeni basi Bajeti ya kilimo ndio itakuwa kubwa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
Hiyo ndogo Huwa inafika asilimia Gani?Waongeze bajeti ya elimu pia. Yaani iwe hivi, Elimu, Afya, Kilimo.
Inategemea zitaenda wapi zinaweza kuwa useless tuuNa hili wale wenye chuki na Samia watapinga..
Saizi Samia abadili strategy aanze kuwaambia watu mapema kwamba Wana nafasi na wako huru kumchukia Samia as individual lakini pia wawe tayari kulinganisha Takwimu zake na waliotangulia.