Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko

Huyu spika hajui kuwa hizi taariza za mfululizo za sasa za jeshi la polisi lengo lake ni nini. Lengo za hizi taarifa ni kutaka kuwaepusha polisi na huu utekaji na mauaji wanayohusishwa nayo. Ndio maana hivo vifo wanavyosema polisi hakuna ushahidi wa wapi viliripotiwa, wala ndugu wa jamaa wanaoenda kuchukua maiti zao.

Hizo ni hadaa za kijinga na tunazijua vyema. Eti watu wamekutwa wamezikwa wamekaa, na waliokiri kuwazika ni waganga, ambao hata hatuoni wakifikishwa mahakamani.

Ni hivi, huu utekaji na mauji unafanywa na jeshi la polisi ili kutaka kutisha watu dhidi ya viongozi kuepuka hao viongozi kuchafuka kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Njiti ana elements za kichawi kichawi sana ana roho mbaya mno kama sura yake, na yule asingesoma angekuwa ngariba wa kukeketa watoto wa wenzake tu.
Wale kumi waliouawa singida na dom waliuawa na serikali?
 
Nyinyi ni mipang'ang'a
Huna akili, serikali hii haishindwi kufanya lolote kujivua lawama hizi. Kwanini miili hii igundulike wakati huu serikali( kupitia kikosi kazi) ikinyooshewa kidole kuteka na kuua watu ?
 
Huna akili, serikali hii haishindwi kufanya lolote kujivua lawama hizi. Kwanini miili hii igundulike wakati huu serikali( kupitia kikosi kazi) ikinyooshewa kidole kuteka na kuua watu ?
Huu ndiyo ujengaji hoja wako,namna unavyotafakari!? Watu walichunwa ngozi huko nyuma,albino kuuawa, ilikua serikali iliyofanya hayo?..wale watu kumi waliuawa na mganga singida na dom ni mganga wa serikali?
 
Utoko mtupu,huu ndiyo ujengaji hoja wako,namna unavyotafakari!? Watu walichunwa ngozi huko nyuma,albino kuuawa, ilikua serikali iliyofanya hayo?..wale watu kumi waliuawa na mganga singida na dom ni mganga wa serikali?
Aje atekwe babako ndiyo utaelewa.
 
Ushakwama kihoja!!?..haya endeleeni na kampeni yenu ya mitandaoni kuichafua serikali ya 'mzanzibar maushungi'
Hayo ya kwako wewe, hachafuliwi mtu hapa bali tunaeleza machozi ya watanzania wenzetu wewe kama hayajakugusa endelea kushangilia ila uje kuimba kupokezana.
 
Betina ni kibaraka na mbwa mwerevu wa Bibi wa Kizimkazi!
 
Bunge ambalo wabunge hawakuchaguliwa litashindwaje kujadili hoja kama genge la mipasho.
 
Ngoja siku moja atekwe mtu wake wa karibu ndio atajua hajui
 
Ngoja siku moja atekwe mtu wake wa karibu ndio atajua hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…