Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu lazima anatumbuliwa. Nipo paleUpepo wa Bashe, Mpina, Spika kwa sasa UPO unavuma sana. Tuupe wiki mbili utakuwa umeshaisha.
Huo muda wa kutanguliza neno ''Mh.'' unautoa wapi?Mh. Spika, kwa nini unataka kumlinda mwizi kwa kumfunga aliyetoa taarifa za wizi?
Watanzania wa sasa wana akili na wanaelewa unachotaka kukifanya.
Tunataka kwanza hoja za Mpina zijibiwe barabara ndipo uje na hizo hoja zako dhaifu dhidi ya Mpina.
Wana jeuri ya kufanya hivyo kwa sababu wanajua wananchi tumelala fofofo tukibishana mambo ya gabachori yupi anafaa kuongoza timu ya Simba.Ninacho kiona hapa ni mwenye mamlaka anaelekea kumuadhibu mtoa taarifa wakati mtoa taarifa ameleta hadi vithibitisho kuhusu mtuhumiwa.
Hii ndio bongo nyoso....
ukiwa kidamba kama wewe hujui vita vya uchumi wala usipoteze muda wako humu huyo mpina mnamuona katoa nondo za uhakika kuna watu matajiri wenye biashara yao ya sukari ndiyo wanamtumia we kaa tu hapo na shibe yako ya kunde unajamba hovyo halafu uanakuja kuandika humuMh. Spika, kwa nini unataka kumlinda mwizi kwa kumfunga aliyetoa taarifa za wizi?
Watanzania wa sasa wana akili na wanaelewa unachotaka kukifanya.
Tunataka kwanza hoja za Mpina zijibiwe barabara ndipo uje na hizo hoja zako dhaifu dhidi ya Mpina.
Na akimfungia tu kuhudhuria vikao vya bunge kwa lengo la kufanya Mpina akose chochote kitu,sisi wananchi naomba tumchangie mh Mpina.Mh. Spika, kwa nini unataka kumlinda mwizi kwa kumfunga aliyetoa taarifa za wizi?
Watanzania wa sasa wana akili na wanaelewa unachotaka kukifanya.
Tunataka kwanza hoja za Mpina zijibiwe barabara ndipo uje na hizo hoja zako dhaifu dhidi ya Mpina.
wacha kamati iangalie je kama visibitisho siyo vya kweli unamwamini vipi mpina mpima samaki na rulerNinacho kiona hapa ni mwenye mamlaka anaelekea kumuadhibu mtoa taarifa wakati mtoa taarifa ameleta hadi vithibitisho kuhusu mtuhumiwa.
Hii ndio bongo nyoso....