Spika Tulia, usijaribu kupindisha point ya Luhaga Mpina

Spika Tulia, usijaribu kupindisha point ya Luhaga Mpina

ukiwa kidamba kama wewe hujui vita vya uchumi wala usipoteze muda wako humu huyo mpina mnamuona katoa nondo za uhakika kuna watu matajiri wenye biashara yao ya sukari ndiyo wanamtumia we kaa tu hapo na shibe yako ya kunde unajamba hovyo halafu uanakuja kuandika humu
Kwa hiyo hata kama wanamtumia je aliyo yaleta ni uongo ?Hebu ww tupe ukweli .
 
Ninacho kiona hapa ni mwenye mamlaka anaelekea kumuadhibu mtoa taarifa wakati mtoa taarifa ameleta hadi vithibitisho kuhusu mtuhumiwa.
Hii ndio bongo nyoso....
Welcome to bongo buana, badala ya kushughulikiw taarifa watashighulika na mtu halaf kesi itapotezewa
 
Tukiachana na masuala ya kinidhamu hayo nadhani yanamuhusu Mpina,

Spika amesema nini kuhusu ushahidi wa mpina?
 
ukiwa kidamba kama wewe hujui vita vya uchumi wala usipoteze muda wako humu huyo mpina mnamuona katoa nondo za uhakika kuna watu matajiri wenye biashara yao ya sukari ndiyo wanamtumia we kaa tu hapo na shibe yako ya kunde unajamba hovyo halafu uanakuja kuandika humu
Unatupangia jinsi ya kuelewa? Wewe Fala nini? Unayelamba matako ya Msomali ni wewe na wapuuzi wenzio usidhani Kila Mtu anakula Kwa Wasomali.
 
Back
Top Bottom