Spika Tulia, usijaribu kupindisha point ya Luhaga Mpina

Kwa hiyo hata kama wanamtumia je aliyo yaleta ni uongo ?Hebu ww tupe ukweli .
 
Ninacho kiona hapa ni mwenye mamlaka anaelekea kumuadhibu mtoa taarifa wakati mtoa taarifa ameleta hadi vithibitisho kuhusu mtuhumiwa.
Hii ndio bongo nyoso....
Welcome to bongo buana, badala ya kushughulikiw taarifa watashighulika na mtu halaf kesi itapotezewa
 
Tukiachana na masuala ya kinidhamu hayo nadhani yanamuhusu Mpina,

Spika amesema nini kuhusu ushahidi wa mpina?
 
Unatupangia jinsi ya kuelewa? Wewe Fala nini? Unayelamba matako ya Msomali ni wewe na wapuuzi wenzio usidhani Kila Mtu anakula Kwa Wasomali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…