Spika Tulia wape muda Halima na wenzake dhidi ya husda za wana-Chadema. Mbona wanatawaliwa kidikteka kwa miaka 30 wapo kimya?

Japo sikubaliani na wewe swala la akina Halima,maana katiba yetu na utaratibu wa bunge uko wazi kwenye hilo,ila hili la Mbowe CHADEMA haina pa kutokea watatukana wee ila ukweli na wenyewe wanatawaliwa na dikteta
 
Kwani Mbowe huwa anajipa madaraka ya kuwa mwenyekiti wa Chadema mwenyewe bila kupigiwa kura?

Ukishalewa kangara usije kuanzisha uzi huku.
Kama katiba ya CHADEMA inamruhusu kutawala miaka yote hyo bac muanze kupambana kubadilisha hyo katiba,tofauti na hapo mnaonekana matapeli na wabinafsi na siku akipewa madaraka ya nchi tuna wasiwasi kama atakubali kutoka baada ya mda wake kuisha.
 
Kweli CHAWA mmekamatwa pabaya[emoji4]
Kwamba Tulia akaidi hukumu ya mahakama na aendeleze uvunjifu wa Katiba kwa kuwang'ang'ania Mzee Halima na wenzie?!
Ulevi wa kangara ni shiiida!!
Mkuu sasa kama mlevi wa kangala anakuwa mtu wa hovyo unadhani Muuza Kangala atakuwaje? [emoji1787][emoji1787]
 
Wa kupimwa akili wewe..!!! Awape muda kwa sheria ipi? Kwani huyo Mdee na wenzie, wamepeleka taarifa ya hiki unachokiwaza?
 
Ukiacha siasa na mazoea,akina Mdee na wenzie,wapo Bungeni isivyo halali
Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeni

Hata hao wa bunge wa ccm wengi wako pale isivyo halali hili hawalisemi hkn mbunge pale hata tulia Yuko pale isivyo halali jaribu kulitazama hili kwa wabunge wengi jins walivyo ingia kimazabe so wakina mdee wapambane maisha Ni vita
 
Sio kweli JF Asilimia 99 ni Chadema, labda kama wengine wana ID tatu tatu.
Hapa JF ukiunga mkono akina Mdee, unatukanwa, sababu JF ni asilimia 99 Chadema!
 
Kama katiba ya CHADEMA inamruhusu kutawala miaka yote hyo bac muanze kupambana kubadilisha hyo katiba,tofauti na hapo mnaonekana matapeli na wabinafsi na siku akipewa madaraka ya nchi tuna wasiwasi kama atakubali kutoka baada ya mda wake kuisha.
Kwani uwepo wa Mbowe Chadema umevunja sheria gani?
 
Hapa JF ukiunga mkono akina Mdee, unatukanwa, sababu JF ni asilimia 99 Chadema!

Nani kawazuia CCM kuingia humu jf, au CCM wengi ni wazee na watu waliochoka hivyo hawawezi kuingia humu jf? Au ni yale yale kuwa CCM sehemu wasiyopata backup ya vyombo vya dola hawana nguvu?
 
Kama katiba ya CHADEMA inamruhusu kutawala miaka yote hyo bac muanze kupambana kubadilisha hyo katiba,tofauti na hapo mnaonekana matapeli na wabinafsi na siku akipewa madaraka ya nchi tuna wasiwasi kama atakubali kutoka baada ya mda wake kuisha.

Kwani akitawala nchi atatawala kwa katiba ya CDM? Ama hujui unachoongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…