Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena wa hali ya juu snUjinga tu umeandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wa hali ya juu snUjinga tu umeandika.
Japo sikubaliani na wewe swala la akina Halima,maana katiba yetu na utaratibu wa bunge uko wazi kwenye hilo,ila hili la Mbowe CHADEMA haina pa kutokea watatukana wee ila ukweli na wenyewe wanatawaliwa na diktetaHalima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au kufile upya vyote vifanyike.
Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.
Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Halafu hawa kina dada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Kama katiba ya CHADEMA inamruhusu kutawala miaka yote hyo bac muanze kupambana kubadilisha hyo katiba,tofauti na hapo mnaonekana matapeli na wabinafsi na siku akipewa madaraka ya nchi tuna wasiwasi kama atakubali kutoka baada ya mda wake kuisha.Kwani Mbowe huwa anajipa madaraka ya kuwa mwenyekiti wa Chadema mwenyewe bila kupigiwa kura?
Ukishalewa kangara usije kuanzisha uzi huku.
Mkuu sasa kama mlevi wa kangala anakuwa mtu wa hovyo unadhani Muuza Kangala atakuwaje? [emoji1787][emoji1787]Kweli CHAWA mmekamatwa pabaya[emoji4]
Kwamba Tulia akaidi hukumu ya mahakama na aendeleze uvunjifu wa Katiba kwa kuwang'ang'ania Mzee Halima na wenzie?!
Ulevi wa kangara ni shiiida!!
Wa kupimwa akili wewe..!!! Awape muda kwa sheria ipi? Kwani huyo Mdee na wenzie, wamepeleka taarifa ya hiki unachokiwaza?Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au kufile upya vyote vifanyike.
Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni.
Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na hawalalamiki? Halafu hawa kina dada wanawamaindi namna hii? Spika Tulia tumia busara kuwalinda hawa akina dada.
Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeniUkiacha siasa na mazoea,akina Mdee na wenzie,wapo Bungeni isivyo halali
Hapa JF ukiunga mkono akina Mdee, unatukanwa, sababu JF ni asilimia 99 Chadema!
Kwani uwepo wa Mbowe Chadema umevunja sheria gani?Kama katiba ya CHADEMA inamruhusu kutawala miaka yote hyo bac muanze kupambana kubadilisha hyo katiba,tofauti na hapo mnaonekana matapeli na wabinafsi na siku akipewa madaraka ya nchi tuna wasiwasi kama atakubali kutoka baada ya mda wake kuisha.
Hapa JF ukiunga mkono akina Mdee, unatukanwa, sababu JF ni asilimia 99 Chadema!
Kama katiba ya CHADEMA inamruhusu kutawala miaka yote hyo bac muanze kupambana kubadilisha hyo katiba,tofauti na hapo mnaonekana matapeli na wabinafsi na siku akipewa madaraka ya nchi tuna wasiwasi kama atakubali kutoka baada ya mda wake kuisha.